Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Nikisema sikupata kitu toka jf nitakuwa sijatenda haki . Nilikua naingia humu kuperuzi mwaka jana na mwisho nilipoona siwezi kuchangia ndipo nilipoamua kujoin.
Nawashukuru sana members wote nimejifunza mengi toka kwenu. Ni vigumu kumtaja kila mmoja lkn wote nawashukuru nimepata mengi toka kwenu. Nimejifunza uvumilivu na kuchukuliana hasa mawazo yanapotofautiana. Kwa kifupi mmenifundisha mengi Mungu awabariki wote.
Nawatakia wote happy holidays nikianza na xmas na mwisho mwaka mpya naamini kwa uwezo wake Muumba tutafika salama kwenye new year. Shukrani zikufikie wewe uliyeanzisha uzi huu napata uzito kukuita babu naomba uniruhusu nikuite mkubwa mwenzangu.