Wewe umejuaje ni ofisi za Usalama wa Taifa?
Kuna utambulisho gani hayo maeneo kuthibitisha hiki unachokisema?!
Mnaandika vitu msivyovijuwa, pale ni makumbusho usalama wa Taifa na makazi pia ya walinzi wa viongozi.

Hao wenye kombati ni makirikiri walinzi wao Usalama wa Taifa, hata Makonda alivamia clouds na hawa.

Haya Mav 8 yenye vimulimuli mkiyaona barabarani muwe mnayapisha yapo above law za sheria za barabani, wanaweza kupita hata na Rais bila kujuwa wakiwa kwenye oparesheni zao bila kutumia msafara rasmi wa Rais.

Tatizo la vijana wa sasa ujuwaji umezidi hizo gari zipo juu ya sheria za barabarani ila ukiwa kiburi endelea kubisha tu.
 
Huyu jamaa inaonekana yuko connected... maana angekuwa mwepesi kwa hapo alipopelekwa, hata simu asingepata na hii video tusingeona.
Technology imekuwa sana siku hizi, kuna simu ikimaliza kupiga picha ina upload kwenye clouds immediately
Na wao wanajua kuwa unaweza kufanya jinai ukampokonya na simu kumbe video iko hewani tayari
 
Inawezekana ndicho kilichotokea.
 
Wale walikuwa ni washamba na malimbukeni,wakati wanashituka wanauliza mbona unaturekodi ndip yule Dada akaituma kwa ndugu yake fasta,walipo washusha chini tayali video ilikuwa imetumwa na waliyemtumia akairusha haraka kwenye mitandao ili awaokoe maana alijua wametekwa,
Inasemekana tayali wako mboloni na wamesimamishwa kazi kupiaha uchunguzi.
 
Mnaandika vitu msivyovijuwa, pale ni makumbusho usalama wa Taifa na makazi pia ya walinzi wa viongozi.

Hao wenye kombati ni makirikiri walinzi wao Usalama wa Taifa, hata Makonda alivamia clouds na hawa.

Haya Mav 8 yenye vimulimuli mkiyaona barabarani muwe mnayapisha yapo above law za sheria za barabani, wanaweza kupita hata na Rais bila kujuwa wakiwa kwenye oparesheni zao bila kutumia msafara rasmi wa Rais.

Tatizo la vijana wa sasa ujuwaji umezidi hizo gari zipo juu ya sheria za barabarani ila ukiwa kiburi endelea kubisha tu.
So besically what you are saying mr matola is ...the end justify the means and they are above the law right...???? Tuna safari ndefu sana
 
Mnaandika vitu msivyovijuwa, pale ni makumbusho usalama wa Taifa na makazi pia ya walinzi wa viongozi.

Hao wenye kombati ni makirikiri walinzi wao Usalama wa Taifa, hata Makonda alivamia clouds na hawa.

Haya Mav 8 yenye vimulimuli mkiyaona barabarani muwe mnayapisha yapo above law za sheria za barabani, wanaweza kupita hata na Rais bila kujuwa wakiwa kwenye oparesheni zao bila kutumia msafara rasmi wa Rais.

Tatizo la vijana wa sasa ujuwaji umezidi hizo gari zipo juu ya sheria za barabarani ila ukiwa kiburi endelea kubisha tu.
You seem to be smart than what u wrote here bto. Sikatai sisi vijana tuna ujuaji mwingi ila hebu rudia kusoma ulichoandika.

Ukiwa usalama una haki ya kuhatarisha usalama wa mwenzako. Nini maana ya usalama sasa? SMH!
 
TISS ni raia bana sio askari nanga wakubwa hao.
Huu ndio ujuwaji naomba watu mjifunze kukaa kimya kwa kitu msichokijuwa, Tiss siyo raia na wanakwenda depo ya kijeshi kabla ya kuajiriwa.

Ukiona Rais anasema viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama maana yake mkuu wa majeshi CDF, IGP, Mkuu wa Usalama wa Taifa, mkuu wa Takukuru, Kamishna wa madawa ya kulevya, kamishna mkuu wa idara ya uhamiaji na sasa linaitwa jeshi la uhamiaji na kamishna mkuu wa magereze. Hivi vyombo vyote tajwa hapo juu hakuna raia, na ndio maana walinzi wa usalama wa Taifa wanavaa kombati za kijeshi kama huyo dada kwenye hiyo video clip.
 
Watu wote nchi hii ni raia "citizens".
Ukiacha JWTZ na JKT ambao ni wanajeshi wengine wote ni "civilians".

Nimekuuliza umejuaje, jibu swali.

Ulipofika Dar kwa mara ya kwanza ukitokea Namtumbo ulijuaje hapo ni Ofisi za idara ya serikali?
Wewe ni mjinga na akili huna, mimi nimezaliwa ocean road wakati huo ikiwa ndio maternity hospital, na kama una akili timamu utajuwa hata umri wangu kabla ya maternity kuhamishiwa muhimbili.

Unawezaje kumuuliza mtu mwenye akili timamu amejuwaje mji mkuu wa Kenya ni Nairobi?

Huna akili.
 
Watu wote nchi hii ni raia "citizens".
Ukiacha JWTZ na JKT ambao ni wanajeshi wengine wote ni "civilians".
Huna ulijuwalo, pole sana, endeleeni na ujuwaji mtaendelea kusurubiwa sana kwa kudhani video na camera zenu zitawasaidia.

Kamuulize mwalimu wako wa chuo ni nini maana ya vyombo vya dola au vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Wewe ni mjinga na akili huna, mimi nimezaliwa ocean road wakati huo ikiwa ndio maternity hospital, na kama una akili timamu utajuwa hata umri wangu kabla ya maternity kuhamishiwa muhimbili.

Unawezaje kumuuliza mtu mwenye akili timamu amejuwaje mji mkuu wa Kenya ni Nairobi?

Huna akili.
Kuna vijana wengine wamechanganyikiwa humu ndani, muda mwingine kuepusha shari ni vyema ukawa unawapuuza ndugu…
 
Back
Top Bottom