Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Jamani yuko wapi mwanamke mwafrika? huyu alikuwa ni mchapa kazi kweli na mwenye hoja kweli kweli hapa jf lakini siku hizi simuoni nani ana habari zake? Nini kimemsibu?
Jamani yuko wapi mwanamke mwafrika? huyu alikuwa ni mchapa kazi kweli na mwenye hoja kweli kweli hapa jf lakini siku hizi simuoni nani ana habari zake? Nini kimemsibu?
I thought the same.Labda maternity........
Kuna wengine zaidi,
....
- Tibwilitibwili,
- Mwendapole,
- Said Yakubu,
- Mswahili,
- Kazi ndiyo Kipimo cha Utu,
- Mugishagwe,
Na wengine mnaweza kuongezea!
Mwafrika wa Kike, Asha Abdala, Mpaka Kieleweke, MamaLao, Mswahili, etc
Wengi wapo ila wanatumia ID nyingi.Mtu huyo huyo anaandika harafu anajis support kwa ID nyingine.
Is it SteveD?Katika kuheshimu sheria za JF, siwezi kumtaja hapa, nitamstahi. Hata kama hivyo kama unahamu sana ya kumjua ni nani, nina tricks nyingi za kumgundua mtu... ukihitaji nitakupa moja (naweza ku charge fee lakini !!).
By the way, kuna Mugongomugongo na kuna mgongomgongo, sasa huyo uliyemtaja kama Mgongowamgongo, mimi kwa kweli simjui, sina uhakika kama ulimaanisha yule mugongomugongo aliye mtaja Judy.
SteveD.
Is it SteveD?
How come you are not able to know me now?
But at least you've made my day!
It shows you people care for others.
"Men and Women for others"
I forgot my passwords!
Wrong guess!Are the Sunshine - "cc-butter shineshine" that i know? If you are, then my guess had been right from start!! PM pls.
later
Wrong guess!
The sad part of it I don't know how to PM.
Sorry!