Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Mchongoma yupo, alilog in mara ya mwisho leo saa 2.48 za usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Lunyungu alilog in mara ya mwisho July 8, 2008 saa 2.32 za usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Pangu pakavu naye yupo alilog mara ya mwisho July 23, 2008 saa 11.16 jioni kwa saa za Afrika mashariki na huyu Amazing Friend yeye ndiye amepotea kweli mara ya mwisho kuwa hapa jamvini ni October 23, 2007 saa 8.32 za mchana kwa saa za kwetu.
 
Is it SteveD?
How come you are not able to know me now?
But at least you've made my day!
It shows you people care for others.
"Men and Women for others"
I forgot my passwords!

LOL!..Sunshine are you so and so?...🙂 I think I know you and 99.99% sure about that....🙂
 
Jamani,

Mwafrika wa Kike, Kitila, Bin Maryam, Mshobozi, Kuhani na wengine mbona mmeingia mitini? Kimya kirefu mmepotelea wapi?
 
labda wamekuwa burned, si unajua tena hapa? mimi nashangaa ile thread yangu ya Yko wapi Raila wa Tanzania imeamishiwa kule upande wa East AFRICA na sijui nani kaiamisha na kwa lengo gani, sijui hapa haki iko wapi? nadhani ni kile kitu kisichopendwa na wahusika, tunapenda demokrasia hiyo ianzie hapa kwanza.
 
Mwafrika wa kike yuko tanzania kwa ajili ya likizo na kumtambulisha mchumba wake wa afrika magharibi kuhani alikuwa banned kitila nae safarini ila najua alikuwa mjini siku za karibuni si unajua huku uswahilini mtandao taabu baba yangu
 
Kwani akiwa Tanzania hawezi kupata net work ya internet? mbona wengi wa wachangiaji ni wadanganyika?
Labda kama akiwa states anapata internet ya bure, hapo sina la kusema. Ila ningependa kusema kuwa .....vya bure........
 
ni kweli hapa bongo internet zinaboa sana siku za karibuni, very slow in deed, hasa dar es alam. nilikuwa dsm last week end, nilihama internet kama tatu ili kujaribu ku-down load file lenye 2mb. nilianza mlimani city pale very hopeless kuna internet inaitwa alpha internet nasikia ni ya fisadi lowasa imechoka kama yeye. nikaenda pale millenium tower kijito nyama ndo kwanza snail speed, baadaye nikaamua nikapate moja hapo maeda club. nikiwa pale nikaagiziwa ingine iko hapo hapo maeda ukiiona imechoka lakini nikafaulu

unless kuna mapinduzi kwenye networks ukweli ni kuwa cafee za dsm zinachosha, labda ukiwa kwenye internet uwe na magazeti pembeni
 
Sawia kabisa nime experirnce the same problem mpaka tukashikana mashati na mhudumu wa cafee pale maana muda uliisha ( nimelipa jero) na goma halijawa downloaded ilikuwa kimbembe mwanawane...
 
Mwafrika wa kike yuko tanzania kwa ajili ya likizo na kumtambulisha mchumba wake wa afrika magharibi kuhani alikuwa banned kitila nae safarini ila najua alikuwa mjini siku za karibuni si unajua huku uswahilini mtandao taabu baba yangu

is she marriagable?????na mnigeria???
 
Wengi tulioko majuu tukifika bongo hatuna muda wa kukaa kwenye computer! Ndugu, jamaa na marafiki wanakuita kila kona, bado kuna viwanja- unataka ukale nyama choma na serengeti baridi bila kusahau totoz, yaani ukikaa kwenye net unacheck email muhimu tu! Huku mamtoni muda wa net ni mwingi wheather uko kazini au home and most of the time ukitoka job huna pa kwenda, unaishia mbele ya PC yako tu na kuanza kutafuta ubishi na mtu JF, habari ndiyo hiyo!
 
Bubu ataka Kusema said:
Mushi alisema anarudi shule hivyo ushiriki wake hapa utakuwa mdogo sana maana atakuwa busy na vitabu.

..isije ikawa mafisadi wamemnunua na kuamua kumlipia tuition na kila kitu.

..jmushi1 alikuwepo hapa hata kipindi ambacho tunajua mitihani hufanyika vyuoni.

..madai kwamba anarudi shule hayaniingii akilini.
 
Back
Top Bottom