Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mwenye mawazo negative ni mimi au wewe?? Wewe ni misogynist mkubwa yaani unachukia sana wanawake sijui walikufanya nini unaacha kuongea ukweli unaleta gender bias hapa!!
Basi nipe pole mimi, maana umeiva kwa ubishi hata pasipohitaji. Mawazo yako ni very negative.
 
Ni tusi baya LA kisukuma, kumaanisha mlale mama yako. Jf in a watu was hali zote, so we need to grow kuzidi huo upuuzi
Haha sasa mimi mwanamke nawezaje kumlala mama yangu??

Umeona sasa akili za huyo mwenzio anayekusaidia kuponda wanawake??
 
Kwani jamii yote inaamini ktk Mungu. Are you trying to fight me? Naona umeenda nje kabisa ya mada. Nitajibu hoja zilizojikita kwennye mada tu. Sipo hapa kubishana bali kuelimishana
Sasa ndiyo nimemaanisha ambao hawaamini katika Mungu unadhani wanajali hata wakifanya huo ukahaba?? Wao kwao kufanya ushetani si wanaona ni sawa tu utawaambia nini??
 
Wote wanawake na wanaume wanatakiwa kuacha kutembeza vidude vyao ila wanaofanya hayo waendelee tu wasipotubu hukumu yao si ipo bwana lakini mind you kwa Mungu watahukumiwa wote mwanamke na mwanaume ila kwenye Jamii ndiyo mtamhukumu mwanamke sasa kati ya Mungu na Jamii kipi ni cha muhimu??

Tatizo watu tunajisahau sana kwamba hapa duniani tunapita tu tunaacha kufanya mambo kumfurahisha aliyetuumba tunafanya mambo kuwafurahisha walioumbwa kama sisi halafu hao wasioamini Mungu mimi hawanihusu maana kutokuamini kwao hakubadilishi ukweli kwamba Mungu yupo yaani nao nawahesabia kama ni watu waliopotoka tu!!
Basi endeleeni kugawa vidude, nothing more
 
Sasa tukikemea si ndiyo kama hivyo mnasema tunataka haki sawa?? Yaani nimegundua wanaume wengi mnalalamikia haki sawa ila hamjui hata mnachokilalamikia kwa sababu hamjui maana ya haki sawa!!
Kemea wewe
 
Hizi issue za single mother zinafikirisha sana.
By the way nilikuwa nawaonea huruma sana single mothers hadi nikafikiria kumrudia mzazi mwenzangu lakini nikagundua kuwa hata yeye hajiurumii ingawa anakaribia 35 sasa hivi maana mwanzoni alikataa kabisa ila sasa hivi ndio naona akili inamrudi baada ya kuona nimejenga na nimemchukua mwanangu na nina mpango wa kuoa.
Tuwaache wavune walichapanda tu kwa kweli maana moja ya sababu za wao kiwa single mother ni dharau wanazokuwa nazo baada ya kuzalishwa
 
Tuwaache wavune walichapanda tu kwa kweli maana moja ya sababu za wao kiwa single mother ni dharau wanazokuwa nazo baada ya kuzalishwa.

Hizi issue za single mother zinafikirisha sana.
By the way nilikuwa nawaonea huruma sana single mothers hadi nikafikiria kumrudia mzazi mwenzangu lakini nikagundua kuwa hata yeye hajiurumii ingawa anakaribia 35 sasa hivi maana mwanzoni alikataa kabisa ila sasa hivi ndio naona akili inamrudi baada ya kuona nimejenga na nimemchukua mwanangu na nina mpango wa kuoa.
Tuwaache wavune walichapanda tu kwa kweli maana moja ya sababu za wao kiwa single mother ni dharau wanazokuwa nazo baada ya kuzalishwa
Mungu akubariki sana Mkuu...!! Hakika wewe ni mfano bora wa vijana katika kuzuia suala la single mother lakino akiwa Jeuri mwache tu
 
Yaani aise huyo anahitaji msaada wa kisaikolojia siyo bure na kwa habati mbaya mimi siyo mwanasaikolojia ndiyo maana tunashindwa kuelewana mimi siwezi kumbembeleza wala kutumia lugha laini kwake nampa ukweli mkavu kama ulivyo yaani
Maria na nyenyere hadi sasa kila mmoja ametuma Msg 800 Mnaonaje sasa mlalee maana kesho mtaanza upya tena manachoka bure...
 
Back
Top Bottom