Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mwenye mawazo negative ni mimi au wewe?? Wewe ni misogynist mkubwa yaani unachukia sana wanawake sijui walikufanya nini unaacha kuongea ukweli unaleta gender bias hapa!!
Thanks. Ukweli unaouma, si kila mtu ataafiki
 
Sasa ndiyo nimemaanisha ambao hawaamini katika Mungu unadhani wanajali hata wakifanya huo ukahaba?? Wao kwao kufanya ushetani si wanaona ni sawa tu utawaambia nini??
Kuna sheria ya maumbile, nature. Haya ndio matokeo yab kuikimbia asili. Feminism ilianza na lengo la kuboresha sifa za mwanamke. Leo imegeuka kutaka kumfanya mwanamke kufanana na mwanaume
 
Sasa tukikemea si ndiyo kama hivyo mnasema tunataka haki sawa?? Yaani nimegundua wanaume wengi mnalalamikia haki sawa ila hamjui hata mnachokilalamikia kwa sababu hamjui maana ya haki sawa!!
Mwanamke akiacha asili yake anapoteza hadhiyake, ndivyo ilivyo kwa nwanamume
 
Niambie jamii za ulaya zinasemaje. Hujui mambo mengine unayopinga ni ya kisayansi.
Ulaya hawana huo ujinga kule wanawake hata wakiwa na miaka 40 wanaolewa na hamna anayewasema vibaya wadanganye ambao hawajaishi kule hizo tafiti za kisayansi zimeanzia kule kule lakini jiulize kwanini wao hawawanyanyapai hao wanawake??

Ni kwa sababu wanajua mwanamke kuwahi kuzeeka kuliko mwanaume siyo sababu ya yeye kuwahi kuolewa au kutokuolewa kabisa eti kwa sababu kazeeka ila kwa vile wanaume wa kiafrika wengi ukiwemo wewe mnaoa wanawake kwa sababu ya mvuto na siyo tabia ndiyo maana mnakuja na kauli kama hizo!!
 
Kwahiyo wewe kila siku upo sahihi?? Na kila anayekukosoa anaumia?? Una matatizo kweli wewe unajihisi ni nani hadi usikosolewe?? Ukweli lazima usemwe tu utake usitake hayo maneno yako hata hayatutishi!!
Thanks. Ukweli unaouma, si kila mtu ataafiki
 
Nimekwambia usilazimishe tofauti kati ya mwanaume na mwanamke kwenye kila kitu hata biblia haijataka hivyo
Kuna sheria ya maumbile, nature. Haya ndio matokeo yab kuikimbia asili. Feminism ilianza na lengo la kuboresha sifa za mwanamke. Leo imegeuka kutaka kumfanya mwanamke kufanana na mwanaume
 
Hilo halibadilishi ukweli wa nilichokisema maana naona sasa unalazimisha kugeuza hoja yangu kuwa vile unavyotaka wewe iwe
Nimeshajifunza kutoka kwako, tuendelee kuwazalisha mabinti ili wawe wake bora
 
Back
Top Bottom