Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Dada zetu na mama zetu wanaishi maisha ya taabu sana kweli hili bara la giza. Huu ujinga wa kuwasemasema single moms lazima ukomeshwe.Kuna single moms wengi tu wameolewa na kutulia kuliko wadada waliolewa wakiwa
hawana watoto
Acheni hizi stereo types za kishamba