Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,755
- 84,706
Kumbe muongo tu muone sasa kama umedanganya kuhusu hilo tusi utashindwa kudanganya kwenye hii mada yako?? Stupidity at it's highest level!!
Noted bro
Noted bro
Acha kukurupukaNaam, hata mimi niliwaza vibaya. Let's move on
wewe tahira nini??kwani wanawake wangapi wanatongozwa na wanakataa?
Huo ni mtizamo wako binafsi kila mtu ana maamuzi yake.
we ndo mpumbavu kweli,kuna wanawake kibao wamekataa na tunayoyaoongelea hapa hayajatokea,nini chanzo cha hayo yote kutokutokea?Sasa wewe unaniita 'tahira' kama nani?? Kwani ni wanaume wangapi hawatongozi hovyo?? Acha kuuliza maswali ya kipuuzi!! Hao wanawake kukataa haibadilishi ukweli kwamba wanaume ndiyo chanzo maana ninyi ndiyo mnatongoza ndiyo ujibu sasa swali nililokuuliza je mwanaume kutongoza ndiyo hana makosa ila mwanamke kukubali ndiyo ana makosa??
Bila shaka tayari umeona.Sasa si useme wewe maana yake??
Noted bro
Usijari mzee wa kaziNaam, hata mimi niliwaza vibaya. Let's move on
Bila shaka tayari umeona.
Sio kuon tu bali umeelewa!?Sawa nimeshaona
Doesn't work like that, Think again
[/QUOTE
why it doesn't work like that?
Sio kuon tu bali umeelewa!?
Sijajibiwa hapa --- kuna wanawake kibao wamekataa na tunayoyaoongelea hapa hayajatokea,nini chanzo cha hayo yote kutokutokea?Nakuuliza tena wewe unaniita mimi mpumbavu kama nani kwa mfano??
Hiyo sentensi yako ya mwisho ndiyo nilitaka kuisikia kwahiyo mwanaume kuwa baharia ni sawa na ndivyo inavyotakiwa si ndiyo??
we ndo pumbavuuu kweli,kutongoza hovyo na kutongoza kawaida yote yale yaleSasa wewe unaniita 'tahira' kama nani?? Kwani ni wanaume wangapi hawatongozi hovyo?? Acha kuuliza maswali ya kipuuzi!! Hao wanawake kukataa haibadilishi ukweli kwamba wanaume ndiyo chanzo maana ninyi ndiyo mnatongoza ndiyo ujibu sasa swali nililokuuliza je mwanaume kutongoza ndiyo hana makosa ila mwanamke kukubali ndiyo ana makosa??
Mbona unatukana matusi!??we ndo pumbavuuu kweli,kutongoza hovyo na kutongoza kawaida yote yale yale
Once a baharia always a baharia
mpumbavu sio tusi,ni sifa ya kuwa na upeo mdogoMbona unatukana matusi!??
Huwezi kupinga kwa hoja bila kutukana matusi!?