Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi !

ni fasheni ya uvaaji wa madera, tn wa zamani sn.
Unaitwa bwebe, au kibwebe. Wengine huvaa na underskirt za kuvuti ili itokeze chini kdg, wengine badala ya kuchomekea kwenye chupi huvaa mkanda au mkufu kwa ajili ya kupania.
Wengine wakishona huweka mpira wa nguo katikati halafu unapania sehem ya matakoni kadri ya unavotaka ukatike.
 
Hilo linaitwa dira na hutakiwa kuvaliwa nyumbani, ndani tu na si la kutokea nje, lakini kwa ushamba wa hawa kinadada wengine wanavaa mpaka nje. Wakikuwa watajuwa waache watuburudishe.

Ukiona ajabu ya kuchomekea, vipi ya KK?

kibao%2Bk.jpg
vs
jeans+thong.jpg


Ipi bora?
Kundi kama hili niliona Efatha kwa Mwingira na Mikochen B kwa Mch Rwakatare
 
Uswahili uliopitiliza ndio tatizo,wakute wako kwenye shuhuli ya besen au arobain ya mtoto ni balaa uchomeakaji wake ni zaidi ya ule wa kawaida!

Mi nadhani bora hawa wabaki na huo uswahili lakini wamejistiri kuliko wale wenye kuvaa skin jeans imekamata makalio haswa,....
 
Hiyo ya kuonyesha thong inatia kinyaa sana.

Na sielewi kwa nini wanapenda kuvaa hivyo vichupi! Sijui vile vikamba huwa vinazama kwenye ule mfereji? Na kama akienda ku.nya halafu ajifute na toileti pepa si inakuwa balaa...maana yale mabaki baki ya ma.vi yanagusana na hicho kikamba.

Yuuuck!! Uchafu mtupu.
Hawa huwa wanapatikana sana Dodoma wakati wa vikao vya Bunge ndio maana kasi ya kwenda India imeongezeka
 
Mniwie radhi.. mwenzenu wala sioni tatizo sana nikilinganisha na mitindo mingine ya mavazi! Sasa inakuwaje wale wanaovaa nguo kama hizo hawachomekei kwa sababu hawana nguo za ndani?
 
Mniwie radhi.. mwenzenu wala sioni tatizo sana nikilinganisha na mitindo mingine ya mavazi! Sasa inakuwaje wale wanaovaa nguo kama hizo hawachomekei kwa sababu hawana nguo za ndani?
Teh teh teh.
Nangoja majibu kutoka kwa vijana wa Mburahati, Tandika na Kigogo.
 
Ivi linatakiwa lichomekewe kwenye chupi kama ilivyo sis tunavyochomekeaga shart kwenye suruali?

Kwanini wasitengeneze mafupi, ka ishu ni kuepusha lisiguse chini?
 
Unajua mjini hapa ukiwa una roho ndogo ni afadhali utembee umevaa jeans full time manake warembo wanajua kuvaa nguo za ki-mitego mpaka basi. Unakuta dada bomba afu kapiga pamba revealing na chupi hakuvaa, aah nyie fundamentalists mnaotaka wadada wajifunike embu ondokeni zenu mtuache tufaidi na macho yetu angalau!
 
Dah afu umejuaje huwa wananiboa sana wanawake wanaovaa hivyo cjui wanajiskiaje huwa natamani wayavue watembee na hivyo vyupi vyao!
 
Ivi linatakiwa lichomekewe kwenye chupi kama ilivyo sis tunavyochomekeaga shart kwenye suruali?

Kwanini wasitengeneze mafupi, ka ishu ni kuepusha lisiguse chini?

Kakaj alitakiwi livaliwe hivyo
Dera tunahesabu n vazi la heshima ila linavaliwa ki huni huni tu
Kwa mwanamke anayejua thaman ya uanamke mke wake hawezi kuvaa hivyo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom