Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi !

Lol! Afu unakuta ni boonge la teitei! Mi nikiona huwa nalipatia picha likiwa limeanikwa kwenye kamba, nahisi mtoto mdogo akiona atalia!
Vifasheni vya kiswazi visivyo na msingi!

IMG00094.jpg


IMG00092.jpg

Kama hivi eh!
 
uswahili tu..mbona khanga wakinunua wanaweka pindo sasa hayo madira kama marefu kwa nini wasiyakate na kutia pindo?
 
Hilo linaitwa dira na hutakiwa kuvaliwa nyumbani, ndani tu na si la kutokea nje, lakini kwa ushamba wa hawa kinadada wengine wanavaa mpaka nje. Wakikuwa watajuwa waache watuburudishe.

Ukiona ajabu ya kuchomekea, vipi ya KK?

kibao%2Bk.jpg
vs
jeans+thong.jpg


Ipi bora?

Hiyo ya kuonyesha thong inatia kinyaa sana.

Na sielewi kwa nini wanapenda kuvaa hivyo vichupi! Sijui vile vikamba huwa vinazama kwenye ule mfereji? Na kama akienda ku.nya halafu ajifute na toileti pepa si inakuwa balaa...maana yale mabaki baki ya ma.vi yanagusana na hicho kikamba.

Yuuuck!! Uchafu mtupu.
 
Dah, kaaz kweli kweli! Ukikuta mtoto wa kiswahili/kuku wa kienyeji aliyenona haswa halafu kachomekea chupini utamtaka! Binafsi huwa napata wakati mgumu sana, yani ukuni huwa unakakamaa kishenz! Naomba muendelee hvyo hvyo vichenchede wangu!
 
Ni kitendo chenye maana ya kuwa anafanya kazi kwenye massage palour au kuhudumia watu wengine
 
sio uswazi tu asilimia kubwa ya wavaaji wa nguo hizi pana wana hii tabia kiasi kwamba mie nimezoea kuwaona wako hivyo si uswazi si mikoania si kwelini kwetu Kijitonyama..............asipochomeka hivi basi lazima ataishika kwa mkono moja kwa mbele akiinua kubana m.ata.ko..........well chakula cha macho hatuachi kutazama!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom