Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Feb 16, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Hivi ni kwa nini baadhi ya wanawake wanavaa gauni lefu halafu ni kama la kitambaa cha mafuta na jepesi halafu wanalichomekea kwenye sehemu ya chini ya chupi (yaani sehemu ya miguu na sio kiunoni) upande wa mapaja au hips?
   
 2. k

  kiparah JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ni uswahilini to ze maximum!
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,770
  Trophy Points: 280
  Naenda kuwauliza nikipata jibu nitarejea..........
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kha!? Gauni la mafuta? Wanalichomeka kwenye hips?
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hasa kina mwazani sikudhani ndio zao...
   
 6. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  yanaitwa Ma-dila kama c dira...huwa wanachomoka kama ana mguu wa bia.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pia takko hips vipo huwa wanauwa kweli hasa sisi wa toa macho..
   
 8. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  utajuaje kama kavaa chupi.......? imebaki si muda watavaa gauni ndani chupi nje..........!!!
   
 9. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo ni za waimba taarab na mashabiki wao, labda tumuulize Mariam wa Migomba mamii orijino.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,908
  Trophy Points: 280
  weka picha sijaelewa
   
 11. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  watoto dizaini hiyo huwa watamu km kambale,kwenye samwel sita wanabinjuka sarakasi mchina haoni ndani
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Lol! Afu unakuta ni boonge la teitei! Mi nikiona huwa nalipatia picha likiwa limeanikwa kwenye kamba, nahisi mtoto mdogo akiona atalia!
  Vifasheni vya kiswazi visivyo na msingi!
   
 13. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mwenye picha aweke tafadhali,wengine bado hatujaelewa somo
   
 14. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Waacheni bana, hao wengi wao ni wale walosoma Communication skills na kudondoa sehemu za kuwafaa. Si unajua kuna mawasiliano kwa nonverbal communication. Mnaolalamika ndo mmeshindwa kuielewa hiyo lugha. Tuacheni wenzenu tuongee kivyetu.
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Uswahili uliopitiliza ndio tatizo,wakute wako kwenye shuhuli ya besen au arobain ya mtoto ni balaa uchomeakaji wake ni zaidi ya ule wa kawaida!
   
 16. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Babu Kambale ni mtamu kweli ? sisi tulikuwa tunapewa kila miezi sita kama kinga ya Malaria na kweli hamna aliepata Malaria nyumbani kwetu,kwenye Samwel Sita nimecheka sana watu wabunifu balaa lol!
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwenye samwel sitta?
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Ila huwa wanashawishi kweli wanavyovaaga hivyo, mkuu hapo lazima utupe jicho, utake usitake!
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hilo linaitwa dira na hutakiwa kuvaliwa nyumbani, ndani tu na si la kutokea nje, lakini kwa ushamba wa hawa kinadada wengine wanavaa mpaka nje. Wakikuwa watajuwa waache watuburudishe.

  Ukiona ajabu ya kuchomekea, vipi ya KK?

  [​IMG] vs [​IMG]

  Ipi bora?
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  6 * 6 lol!
   
Loading...