Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi !

Minaona bora wajirekebishe wavaaji ivyo lakini tatizo pia lipo kwa awa ndugu zetu wachina na izo nguo zao wajitaidi kuweka matilio vizuri kwani izo gauni wamezidi sana kuchakachua mpaka mtu akivaa inakua kama kavaa kitambaa trasparent,
 
Hii tabia ipo, tena siyo wadada tu
hata wamama watu wazima wanafanya hivyo,
tatizo ni kuwa haya manguo yanauzwa redemeidi,
hivyo yanakuwa marefu sana. Kuweka sawa unalipachika tu
kwenye gagulo na unachapa mwendo.
 
wanaofanya iv ni washamba, kama wamesoma elimu yao haijawasaidia, hawajiheshimu na ni kujidharirisha pia!
 
Hii tabia ipo, tena siyo wadada tu
hata wamama watu wazima wanafanya hivyo,
tatizo ni kuwa haya manguo yanauzwa redemeidi,
hivyo yanakuwa marefu sana. Kuweka sawa unalipachika tu
kwenye gagulo na unachapa mwendo.

Mamdenyi kwana hayana size ie small,medium,large na extra large?
 
Baby sis shughuli ya beseni ndo nini? Unichukue kesho basi tukagate crush,ntakununulia dera ila kichomekeo utajitegemea
Sisy wangu hiyo shuhuli ni kituko,yani unakuta mashosti wa mdada aliyejifungua wamnunulia mtoto yale mabesen yanakuwa yamejazwa vikorokoro kwa ajili ya mtoto vitu km sabuni za kuogea,nepi,poda za watoto nk,sasa wanakodisha wapiga mdundiko wanawasindikiza kupeleka hilo besen hapo wanakuwa wamelewa haswa huko njiani sasa uchomekeaji wake ni hatari wanavyokata mauno njia nzima ndio usiseme!!!
Usijali nikisikia mahali kuna hiyo shuhuli nitakustua mie sitachomekea aisee sipendi hiyo makitu kbs!!!
 
Uliwavizia wapi hawa,
au ndo pita pita za Valentine day.
Hii niliifotoa maeneo ya Tabata Mawenzi siku ya Jumapili, Huyu Binti alikuwa amefuatana na wenzie anaenda Ngomani huko Tandale kwa Mkunduge, nikavutiwa na hiyo staili yake ya kivazi, nikamfotoa nikijua picha hiyo itanifaa huko mbeleni....................
 
Dah, kaaz kweli kweli! Ukikuta mtoto wa kiswahili/kuku wa kienyeji aliyenona haswa halafu kachomekea chupini utamtaka! Binafsi huwa napata wakati mgumu sana, yani ukuni huwa unakakamaa kishenz! Naomba muendelee hvyo hvyo vichenchede wangu!
Nawe upunguze mkuyat, huo ukuni nao utatulia
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom