Kama Unataka Kunila Si Useme Tu Usizunguke?

Kama Unataka Kunila Si Useme Tu Usizunguke?

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,989
Reaction score
4,369
Hivi Wanawake Mmekubaliana Nchi Nzima Kuwa Kazi Yenu Rasmi ni Kujiuz

Salaam Wakuu, yaani unatembea unaingia zako baa, unakuta wanawake wamejazana caunta au pembeni huku wameagiza kinywaji chao kimoja tu wanakilamba masaa manne, yaani wapo hapo macho huku na kule kama wezi wa kuku, vimacho vyao vinacheza cheza kuangalia kila mwanaume anayeingia na kukagua mifuko ya watu, ukiuliza unaambiwa hawa ni malaya wanawinda wateja wa kuwanunua,

Yan kwasasa kila mtoto mbichi unayemwona sasa hivi anajiuza kwa bei ya kutupa ya elfu 10 au 20, yaani wamegeuka kuwa mimalay mishenz isio na haya wala aibu, wamegoma kabisa kutafuta kazi za halali na akili zenu zote zimehamia katikati ya mapaja yenu,

Huu uharibifu wa maadili umeenda mbali zaidi hadi kwenye namna wanavyotafuta mizinga mtaani kila kukicha, yaani siku hizi imekuwa ukimwona binti unayevutiwa naye ukamfuata kwa nia njema kabisa na kwa mapenzi mema ukaomba namba yake ya simu ili mjuzane au mjenge ukaribu, basi jua umejitafutia balaa,

hakuna maongezi ya maana tena, kama sio leo basi kesho yake asubuhi lazima upewe mzinga wa hela au uombwe vocha, utasumbuliwa na vizinga vya hovyo vya kijinga hadi unajuta kwanini uliomba hiyo namba

mwisho wa siku unajikuta unaifutilia mbali hiyo namba kabisa na kumblock mtu kwenye simu yako kwa hasira,

yaani hawana tena heshima ya kutongozwa wala kutafuta mahusiano ya kweli, akili zao zote zimeshawekwa rehani kwenye tamaa za kupata pesa za haraka haraka bila jasho, ukimtamkia binti salamu tu yeye anawaza tayari amepata mteja wa kumpunguzia njaa zake

Juzi hapa nilichukua namba ya mdada mmoja pale baa, mtoto mzuri balaa, yaani ana kila kitu cha kuvutia, sasa kesho yake nikaanza kupiga naye stori za hapa na pale, cha kushangaza katikati ya stori akakata mawasiliano na kuniambia live bila aibu, kama unataka kunila si useme tu usizunguke zunguke hapa,
yaani nilicheka kwa dharau sana, unaona kabisa hawa viumbe hawana tena hata chembe ya soni wala staha, akili zao zimeshazoea kuwa bidhaa ya sokoni kiasi kwamba hawaoni hata aibu kujitangaza bei na kujitolea kuliwa mradi tu mzungumzo yaishie kwenye masuala ya pesa, wamekuwa kama wanyama wasio na akili ya kufikiri utu wao.

Ugonjwa huu sasa hivi umekolea zaidi kwa hawa masingo maza ambao kila siku wanashinda kulia lia mitandaoni huku kumbe ni makahaba ya kutupwa, unakuta limwanamke lina mtoto nyumbani lakini yeye usiku kucha lipo baa linatega mimacho juu juu linatafuta mdhamini wa kumpa bia na elfu 10 ya asubuhi,
akili zao zote zimejaa ufuska na tamaa za hovyo huku wakisingizia wanatafuta malezi ya watoto wao kumbe ni umalaya tu umewajaa kwenye damu, na hawa ndio wanaoongoza kwa kuvua chupi haraka sana ukimrushia hata hela ya vocha tu tayari ashapanua miguu, hawataki kufanya kazi kabisa wanawaza kutumia miili yao kama mtaji wa maisha yao ya kila siku.

Hadi hawa wanawake walioolewa nao wamo kwenye huu uhuni na ufuska, unakuta mwanamke ana mume kabisa na mwanaume wake ana kajiuwezo na anamtimizia kila kitu, au mwanamke mwenyewe ana kijikazi chake cha kueleweka, lakini ukimtangazia dau tu tayari analainika na kuvua chupi huku akitaka upige kavukavu, yaani kavu kabisa bila mpira wala mafuta bila hata kujali afya yake wala ndoa yake, miili imekuwa haina thamani tena imekuwa kama duka la rejareja la kila anayepita mradi ana hela,

mimi binafsi hapa mtaani kwangu nishapiga wake za watu kisa tabia zenu hizi hizi za kimalaya, na sikutumia nguvu yoyote ya ziada zaidi ya mazoea yenu ya kijinga, sms nyingi za mitego na vizinga vya hovyo, unaona kabisa huyu anataka na ukimrushia kitu kidogo tu asubuhi basi jioni unakula kirahisi sana.

Mmekuwa washenz kiasi kwamba hamna hata staha na inaonekana mmeamua nchi nzima kuwa biashara yenu kuu ni miili yenu, kila mwanamke ukimfuata na kumtajia dau analiwa kirahisi kama kuku wa kisasa, hamna akili za kufanya kazi zingine wala kutunza heshima zenu, mnatia kinyaa sana na kama mnaona ni sifa basi jua mmebaki kuwa makahaba wa kupigiwa na kuachwa, acheni umalaya wenu maana mnakera mno.
 
Wewe ni sadist

Soma hapa uelewe.

Katika utu uzima wangu huu nimegundua ukiona mtu anaongea au kupost sana kuhusu malalamiko ya kimapenzi na mahusiano dhidi ya wanawake basi utambue kuwa ni mtu ambao anakataliwa sana na wanawake na wanawake wa hadhi fulani anaowataka hawawezi kuwapata maana hana wadhfa au pesa, au ni domo zege
 
Wewe ni sadist

Soma hapa uelewe.

Katika utu uzima wangu huu nimegundua ukiona mtu anaongea au kupost sana kuhusu malalamiko ya kimapenzi na mahusiano dhidi ya wanawake basi utambue kuwa ni mtu ambao anakataliwa sana na wanawake na wanawake wa hadhi fulani anaowataka hawawezi kuwapata maana hana wadhfa au pesa, au ni domo zege
Endelea kujidanganya
 
Hapo kwa baamedi alikua sahihi,...Kwaiyo wewe ulitaka upige stori na baamed hujui Kama unampozea muda wa shorttime?
Ili ukae na baamed na mpige stori unatakiwa ufanye Ile kitu wanaita "on house"
Duuuh au sio [emoji3]
 
Wewe ni sadist

Soma hapa uelewe.

Katika utu uzima wangu huu nimegundua ukiona mtu anaongea au kupost sana kuhusu malalamiko ya kimapenzi na mahusiano dhidi ya wanawake basi utambue kuwa ni mtu ambao anakataliwa sana na wanawake na wanawake wa hadhi fulani anaowataka hawawezi kuwapata maana hana wadhfa au pesa, au ni domo zege
Well said Brethren
 
Hii habari ukiisoma kwa umakini utagundua tu kuwa hali ni ngumu sana! ndio solution imebaki kwa mabinti wengi wadogo kujiuza! nahisi hili wimbi limeletwa na umasikini, sio sababu ya umalaya tu! kama sio umasikini hakuna mtu anaweza kujiuza elfu 20, haimsaidii chochote, ndio maana ukifika wanakodoa macho waone unatumia pesa kiasi gani, hata beer ndio kama hivyo inalambwa kama paka. Kama ni tabia tusidhani kama wangekuwa wanawatoza pesa!
 
Back
Top Bottom