Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi !

wanawake wanaovaa dera wananivutia sana kuliko anaevaa jeans. unaonekana upo kischana-kischana ivi anapendeza kweli
 
Uvaaji huo hata hauvutii kama refu likatwe kama pana lipunguzwe.....
anyway uhuru wa mutu
 
hahahaaa...... Smile unalichomekea lote? LOL!
Mi huwa napenda kulishikilia kama naliinua flani hivi lisichafuke chini!!!!!
unachomekea kwa upande then unaanza kujivibretisha!..halafu ukute ni haya madera ya plastic wewe! nadhani ndo kaka jambazi alikutana nayo!watajibebaje!
 
unachomekea kwa upande then unaanza kujivibretisha!..halafu ukute ni haya madera ya plastic wewe! nadhani ndo kaka jambazi alikutana nayo!watajibebaje!

halafu ukute ndio upo kwenye kale ka mwendo ka haraka haraka,, jamani wanaume wanapata shida aisee!
 
unachomekea kwa upande then unaanza kujivibretisha!..halafu ukute ni haya madera ya plastic wewe! nadhani ndo kaka jambazi alikutana nayo!watajibebaje!

hahaaaaa madera ya plastic hatari sana..............singida dodoma unaiona ileeeeeeee
 
Kwani kama ni refu si muwe mnayapunguza? Ya nini kuyashikilia na mkono au kuchomeka kwenye chu**pi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom