Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi !

Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi !

Eti kuchomekea wenyew waita swagz.. Hilo bambataa awe nalo basii..mbna tuna kaz watazamajii
 
ukitoa kuchomekea kuchupi kuna katabia kakulishika ili lisiguse chin kwa kulivutia mbele ili kuonyesha nyambi sipendi kuna siku nilimpitisha mama watoto kwa fundi likapunguzwa tukaendelea na mishe mjini huku kanuna mi nimeridhika
 
Ivi linatakiwa lichomekewe kwenye chupi kama ilivyo sis tunavyochomekeaga shart kwenye suruali?

Kwanini wasitengeneze mafupi, ka ishu ni kuepusha lisiguse chini?
nafikiri ni mtindo tu au ndio style yake,wale wanaovaa ule mtindo wa bwebwe ,si unawaonaga
 
Hii tabia imekuwa kubwa sasa ukipita mitaani utakutana na wadada wamevaa nguo hasa madela wamechomekea kwenye chup-i. Mtu amekunja dela kidogo upande wa mbele au pemben alafu kachopeka chupi_ni utadhan ni shati kwenye kaptula. Hivi hii nayo ni style mpya ya uvaaji au
 
​mademu wa uswahilin tandale kwa mtogore, sinza kwa tumbo na mbagala charambehao
 
Back
Top Bottom