Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

Tukisema unashida unatukana.. kwahiyo wabunge wachague kwamkufuata matakwa ya mtu mwenye "mental case".!
Mimi na Wewe mwenye Shida na Mwehu nani? Unanichukia lakini 24/7 unanifuatilia na Kushobokea Mada zangu mpaka hapo hujajigundua au hata Kujishtukia tu kuwa Wewe ni CERTIFIED FOOL and UNCIRCUMCISED BABOON hapa Jamvini?
 
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na Wabunge wasipompa nitawadharau hadi Kiama.

Kwa wale Wote ambao mtakwazika (mtakasirika ) kwa hili nililolisema tafadhali tafuteni upesi Sumu ya Panya 'Korogeni' katika Vikombe vyenu vya Chai au Maji ili mnywe na mpumzike kabisa nami.

Dk. Tulia Ackson ( Naibu Spika wa sasa ) tafadhali anza Kujiandaa sasa kuwa Spika wa Bunge la Tanzania kwani tayari una 'Baraka' zangu zote Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE (alias) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer kwani hakuna na bado sijaona wa Kushindana nawe.

Na baada sasa ya Mimi kusema na kutaka Dk. Tulia Ackson ndiyo awe Spika wa Bunge niwaombe tu wale Wanaochukua Fomu waache upesi ( mara moja ) na waendelee na ratiba zao zingine kwani Wote hawana uwezo wa Kushindana na Dk. Tulia Ackson ambaye namuona ni Fundi na Mahiri kama Mchezaji wa Simba SC Pape Ousmane Sakho huku hawa ( hao ) waliochukua na watakaochukua Fomu nawaona ni wa 'hovyo hovyo' tupu kama Kipa wa Yanga SC Erick Johora ( Mdaka Kambale )

Rais Mwanamke na Spika Mwanamke!!!!!
Tulia Ackson ni mwoga, hana rekodi yoyote ya ujasiri kwenye mazingira magumu ya utendaji zaidi ya ile rekodi ya kutetea sheria ya mita 200 baada ya kuoiga kura, ambayo ndiyo ilimpa kiki kwa JPM. Ujasiri wa Sitta unajulikana, ujasiri wa Makinda unajulikana, ujasiri wa Job unajulikana pia.
 
Ukituma tu 'Comment' moja inatosha na kutuma 'Comment' moja ( hiyo hiyo ) kila mara ni Uthibitisho tosha Kwetu kuwa unatakiwa kuwahi Kitanda chako katika Wodi ya Wagonjwa wa Akili ( Wendawazimu ) ama pale Milembe ( Dodoma ) au Lutindi ( Tanga ) tayari kwa kuanza Tiba yako sawa?
Umepitia hosp nyingi sana.
 
Wabunge wa JMT wana machaguo Mawili tu ama Wamchague Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ili niwapende, niwabariki na niwaheshimu Milele au wasimchague kisha nianze Kuwadharau, Kuwachukia na kuwaombea Mabaya ( hasa Mabalaa ) mpaka mwaka 2025.
Wewe ni nani kwenye Jamhuri hii!!???
 
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na Wabunge wasipompa nitawadharau hadi Kiama.

Kwa wale Wote ambao mtakwazika (mtakasirika ) kwa hili nililolisema tafadhali tafuteni upesi Sumu ya Panya 'Korogeni' katika Vikombe vyenu vya Chai au Maji ili mnywe na mpumzike kabisa nami.

Dk. Tulia Ackson ( Naibu Spika wa sasa ) tafadhali anza Kujiandaa sasa kuwa Spika wa Bunge la Tanzania kwani tayari una 'Baraka' zangu zote Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE (alias) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer kwani hakuna na bado sijaona wa Kushindana nawe.

Na baada sasa ya Mimi kusema na kutaka Dk. Tulia Ackson ndiyo awe Spika wa Bunge niwaombe tu wale Wanaochukua Fomu waache upesi ( mara moja ) na waendelee na ratiba zao zingine kwani Wote hawana uwezo wa Kushindana na Dk. Tulia Ackson ambaye namuona ni Fundi na Mahiri kama Mchezaji wa Simba SC Pape Ousmane Sakho huku hawa ( hao ) waliochukua na watakaochukua Fomu nawaona ni wa 'hovyo hovyo' tupu kama Kipa wa Yanga SC Erick Johora ( Mdaka Kambale )

Rais Mwanamke na Spika Mwanamke!!!!!
 
Wewe ni nani kwenye Jamhuri hii!!???
Kama 85% ya Wakubwa ( Viongozi ) wa Tanzania yako hii kuanzia Rais Samia, TISS DG Msuya, CDF Mabeyo, Poti wangu wa Kizanaki IGP Sirro, Mkurugenzi wa Mwalimu Nyerere Foundation Mzee Butiku, Balozi Wibroad Slaa, Mawaziri wengi, Maafisa Usalama wa Taifa, Wanajeshi wa JWTZ ( hasa wale Commissioned Officers ), Wahadhiri wa Vyuo Vikuu mbalimbali, Waandishi wa Habari na Wachambuzi wa Soka na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Wanadamu ( Wananchi ) wengine wenye Akili Kubwa ( ambazo kwa bahati mbaya huna ) 24/7 wananisoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums Wewe Zuzu ( Hambe ) Mmoja tu bado hujanijua Mimi ni nani?

I'm GENTAMYCINE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer okay?
 
Tulia ni low profile aache tamaa kwani unaibu aumtoshi au mafao yao ni tofauti na speaker akistaafu
 
Dua zako zilijibiwa Genta....

The best Speaker ever !!!

IMG-20230608-WA0036.jpg
 
Back
Top Bottom