Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

Nimemaanisha Mkuu na nasisitiza tena ni Wabunge wenye Uhumbe ( Upumbavu ) tu pekee ndiyo hawatampa Uspika Dk. Tulia Ackson ( Sakho ), ila kwa Wabunge 'very Intelligent' wa Bunge la JMT Nina uhakika wa 100% kuwa Kura zao zote watampa Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) tu na siyo hao 'Wapuuzi' wengine wanahangaika na Kujitutumua kuchukua Fomu.
Ndugu GENTAMYCINE kwa maelezo yako, ikitokea Dr. Tulia Ackson Mwansasu amekosa uSpika, maana yake wabunge wa bunge la JMT waliopo bungeni ni WAPUMBAVU.

Tunaendelea kunywa mtori tukisubiri nyama zilizoko chini.
 
Wabunge wa JMT wana machaguo Mawili tu ama Wamchague Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ili niwapende, niwabariki na niwaheshimu Milele au wasimchague kisha nianze Kuwadharau, Kuwachukia na kuwaombea Mabaya ( hasa Mabalaa ) mpaka mwaka 2025.
Kuwaombea mabaya au mabalaa hadi 2025 tafsiri yake baada ya uchaguzi wa 2025 wasirudi bungeni. Kwani Dr. Mahera anasemaje?
 
Hafai. Anapenda kujipendekeza . Sijawahi hata siku moja kumsikia akizungumzia haki za binadamu. Yeye walioko kinyume naye wakiumia ni sawa tu kwake. Tunataka spika atakaye jali watu wote sawa bila kuangalia chama,dini na kabila. Mpenda haki kwa watu wote .
 
Uliishia darasa la ngapi? Siyo hopeless and fool, ni hopeless fool. Na unaposema certified mental, unamaanisha nini? Tafuta walimu wa chekechea, wapo wanaofahamu Kiingereza vizuri, watakufundisha. Hutakuwa na hiki Kiingereza cha kurushia neno moja moja mahali pasipostahili.
You're hopeless and fool sawa? Njoo tena.
 
Mpaka shule zije kufunguliwa tutasoma mengi sana humu JF. Naambiwa bado kama week moja au mbili.
Ukituma tu 'Comment' moja inatosha na kutuma 'Comment' moja ( hiyo hiyo ) kila mara ni Uthibitisho tosha Kwetu kuwa unatakiwa kuwahi Kitanda chako katika Wodi ya Wagonjwa wa Akili ( Wendawazimu ) ama pale Milembe ( Dodoma ) au Lutindi ( Tanga ) tayari kwa kuanza Tiba yako sawa?
 
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na Wabunge wasipompa nitawadharau hadi Kiama.

Kwa wale Wote ambao mtakwazika (mtakasirika ) kwa hili nililolisema tafadhali tafuteni upesi Sumu ya Panya 'Korogeni' katika Vikombe vyenu vya Chai au Maji ili mnywe na mpumzike kabisa nami.

Dk. Tulia Ackson ( Naibu Spika wa sasa ) tafadhali anza Kujiandaa sasa kuwa Spika wa Bunge la Tanzania kwani tayari una 'Baraka' zangu zote Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE (alias) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer kwani hakuna na bado sijaona wa Kushindana nawe.

Na baada sasa ya Mimi kusema na kutaka Dk. Tulia Ackson ndiyo awe Spika wa Bunge niwaombe tu wale Wanaochukua Fomu waache upesi ( mara moja ) na waendelee na ratiba zao zingine kwani Wote hawana uwezo wa Kushindana na Dk. Tulia Ackson ambaye namuona ni Fundi na Mahiri kama Mchezaji wa Simba SC Pape Ousmane Sakho huku hawa ( hao ) waliochukua na watakaochukua Fomu nawaona ni wa 'hovyo hovyo' tupu kama Kipa wa Yanga SC Erick Johora ( Mdaka Kambale )

Rais Mwanamke na Spika Mwanamke!!!!!
Kwa mfumo uliopo mbunge yoyote wa CCM anaweza kuwa Spika.
 
Wabunge wa JMT wana machaguo Mawili tu ama Wamchague Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ili niwapende, niwabariki na niwaheshimu Milele au wasimchague kisha nianze Kuwadharau, Kuwachukia na kuwaombea Mabaya ( hasa Mabalaa ) mpaka mwaka 2025.
Tukisema unashida unatukana.. kwahiyo wabunge wachague kwamkufuata matakwa ya mtu mwenye "mental case".!
 
Back
Top Bottom