Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,568
108,910
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na Wabunge wasipompa nitawadharau hadi Kiama.

Kwa wale Wote ambao mtakwazika (mtakasirika ) kwa hili nililolisema tafadhali tafuteni upesi Sumu ya Panya 'Korogeni' katika Vikombe vyenu vya Chai au Maji ili mnywe na mpumzike kabisa nami.

Dk. Tulia Ackson ( Naibu Spika wa sasa ) tafadhali anza Kujiandaa sasa kuwa Spika wa Bunge la Tanzania kwani tayari una 'Baraka' zangu zote Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE (alias) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer kwani hakuna na bado sijaona wa Kushindana nawe.

Na baada sasa ya Mimi kusema na kutaka Dk. Tulia Ackson ndiyo awe Spika wa Bunge niwaombe tu wale Wanaochukua Fomu waache upesi ( mara moja ) na waendelee na ratiba zao zingine kwani Wote hawana uwezo wa Kushindana na Dk. Tulia Ackson ambaye namuona ni Fundi na Mahiri kama Mchezaji wa Simba SC Pape Ousmane Sakho huku hawa ( hao ) waliochukua na watakaochukua Fomu nawaona ni wa 'hovyo hovyo' tupu kama Kipa wa Yanga SC Erick Johora ( Mdaka Kambale )

Rais Mwanamke na Spika Mwanamke!!!!!
 
Popoma leo umeandika nn,labda kama ni sarcasm
Nimemaanisha Mkuu na nasisitiza tena ni Wabunge wenye Uhumbe ( Upumbavu ) tu pekee ndiyo hawatampa Uspika Dk. Tulia Ackson ( Sakho ), ila kwa Wabunge 'very Intelligent' wa Bunge la JMT Nina uhakika wa 100% kuwa Kura zao zote watampa Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) tu na siyo hao 'Wapuuzi' wengine wanahangaika na Kujitutumua kuchukua Fomu.
 
1641886933407.png
Jitihada zina mahali pake!
 
Kujipendekeza kwa Rais👇😁😁😁
Taifa haliwezi kuendelea kwa mihimili kujipendekeza kwa Rais.She is hopeless fool!
 
Tatizo sio wabunge wa CCM kumpa kura, ila changamoto ni kupitishwa na chama chake. Akipitishwa tu, obviously anakuwa spika. Nilisikia kuwa na yeye ni team mwenda zake ambayo mama amewengana nayo sana
 
Kwani tuna bunge Tanzania? Sijawahi ona umuhimu wa bunge la Tanzania, nafikiri hata wakimweka DR. Msukuma poa tu,

Tuliwahi kuwa na bunge kipindi fulani alikuwepo Spika mmoja anaitwa Samweli Sitta, pale ndo tulikuwaga na bunge

Sasa hivi hamna chochote hata wakimweka kibajaji sawa tu, au kama vip kuondoa gharama za uendeshaji wa bunge ambazo tunatishwa watanzania lifutwe kabisa!!
 
Hapana nimejikuta nabishana na mlevi aliyetapa G.P.A ndogo ya sociology pale SAUT.
Kumbe GENTAMYCINE aliposoma pale SAUT Darasa la ( 2006 - 2009 ) alisomea Sociology.

Pole kwa kuwa na huo Ubongo wako Uliosindikwa Mkuu na wahi Tiba Mirembe Hospital.

Oya Mheshimiwa Moses Machali niliyesoma nawe SAUT na Kukaa nawe Hostel ya Watukutu na Werevu ya Darfur na nikawa 'nakuonea' mno kwa 'Ubabe' wangu hebu mwambie huyu Zuzu ( Humbe ) nilisomea Kozi gani / ipi.
 
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu ( na hata rekodi zinanibeba ) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na Wabunge wasipompa nitawadharau hadi Kiama.

Kwa wale Wote ambao mtakwazika ( mtakasirika ) kwa hili nililolisema tafadhali tafuteni upesi Sumu ya Panya 'Korogeni' katika Vikombe vyenu vya Chai au Maji ili mnywe na mpumzike kabisa nami.

Dk. Tulia Ackson ( Naibu Spika wa sasa ) tafadhali anza Kujiandaa sasa kuwa Spika wa Bunge la Tanzania kwani tayari una 'Baraka' zangu zote Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer kwani hakuna na bado sijaona wa Kushindana nawe.

Na baada sasa ya Mimi kusema na kutaka Dk. Tulia Ackson ndiyo awe Spika wa Bunge niwaombe tu wale Wanaochukua Fomu waache upesi ( mara moja ) na waendelee na ratiba zao zingine kwani Wote hawana uwezo wa Kushindana na Dk. Tulia Ackson ambaye namuona ni Fundi na Mahiri kama Mchezaji wa Simba SC Pape Ousmane Sakho huku hawa ( hao ) waliochukua na watakaochukua Fomu nawaona ni wa 'hovyo hovyo' tupu kama Kipa wa Yanga SC Erick Johora ( Mdaka Kambale )

Rais Mwanamke na Spika Mwanamke!!!!!
Mental health ni serious issue
 
Back
Top Bottom