Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Miss yuh too, jamani mdogo wangu gbefa sijamuona humu kabisaa, namge nae, dem boy, Aisha, Ukhuty, kuna jamaa ana jina Qu....,huwa linanisumbua kweeli kulitaja, na yule jamaa wa dini mbaya Namuogopa ila namuulizia tuu Jamanii, hawa watu wako wapi
Wako wapi wale waliokuwa wanaishi kama malaika, sikuhizi wanaishi kama mashetani,... Me gbefa nipi kipenzi changu nimekumiss kinoma yaani mdada hope uko poa na mambo yako.. Tumshukuru mungu
 
Wakuu saa 5 hii tusiokuwa na show usiku huu ushindi lazima,toxic naona ana world cup leo simuoni kabisa pacha langu,sakayo utatuambia leo huyu mtu yupo wapi
Yupo wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] anahudumia ndoa kaka me na wewe ndio washindi muda mwingi tu wapweke kama wanafunzi tuliokosa mkopo basi tuwe ndugu tufarijiane
 
Back
Top Bottom