Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Tufanikiwe pamoja na wale wote tunaowapenda na wanaotupendaupendo ndio nguzo kuu ya maisha tukiishi kwa upendo lazima tufanikiwe
Tufanikiwe pamoja na wale wote tunaowapenda na wanaotupendaupendo ndio nguzo kuu ya maisha tukiishi kwa upendo lazima tufanikiwe
Wanaotupenda sisi kama Taifa ni wale wanaokataa kuonewa kama IranTufanikiwe pamoja na wale wote tunaowapenda na wanaotupenda
Iran anaendelea kuwapa changamoto mataifa makubwaWanaotupenda sisi kama Taifa ni wale wanaokataa kuonewa kama Iran
Nalog off Z
Makubwa halafu mdebwedoIran anaendelea kuwapa changamoto mataifa makubwa
kweli mnaamini iran anamuweza Marekani kwa vitakazi kweli kweli
Vinaachwa kwa sababu havina ladha.wengi hujilia vizuri vibaya vinaachwa
ladha ya juice ya mango passion ni nzuriVinaachwa kwa sababu havina ladha.
Nzuri sana huu mchezo😀ladha ya juice ya mango passion ni nzuri
mchezo hauishi huu Dahan mremboNzuri sana huu mchezo😀
Mrembo tena?😀mchezo hauishi huu Dahan mrembo
Mwingine ni wewe😀😀jitahid uondoke na hili tajikikombe chako bado hauja kipokea kwanini umpe mwingine
taji lenyewe la miiba mi siwezi kujitwika😊Mwingine ni wewe😀😀jitahid uondoke na hili taji
mbwa koko unaekula jalalani🤣🤣🤣🤣🤣Na mshindi huyo ni mimi. Atakayejibu hii comment yangu ni mbwa koko.
Mbwa koko ni wewe usiejua huu mchezo😀Na mshindi huyo ni mimi. Atakayejibu hii comment yangu ni mbwa koko.
Ndo wewe na kiherehere chako kakutuma nani?mbwa koko unaekula jalalani🤣🤣🤣🤣🤣
Ushindi wangu haubatiliki kwa yako mipasho.Mbwa koko ni wewe usiejua huu mchezo😀