mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Yupo nani unamsemea au toxic9 ndio baba mjengo?Unasemea mikoani au hapo hapo ulipo, nilipo yupo
Yupo nani unamsemea au toxic9 ndio baba mjengo?Unasemea mikoani au hapo hapo ulipo, nilipo yupo
Kimoja tena, basi sawaUmenisahau mimi ni yueyule tukisomaga kidato kimoja
Mtaani kwenu mna vijimsemo vya mwendokasiMkuu Nimekumisslavuzi ni lugha ya mtaani
Vitendo vyake ni changamoto kabisa
Sawa kwa ulivyofikiri poa tuuuKimoja tena, basi sawa
Miss yuh too, jamani mdogo wangu gbefa sijamuona humu kabisaa, namge nae, dem boy, Aisha, Ukhuty, kuna jamaa ana jina Qu....,huwa linanisumbua kweeli kulitaja, na yule jamaa wa dini mbaya Namuogopa ila namuulizia tuu Jamanii, hawa watu wako wapiVyote vizuri shem langu i miss yuh
Mwendokasi sjapandaMtaani kwenu mna vijimsemo vya mwendokasi
Chini kwa chini taarifa nyeti zinavuja na kuwafikia walengwaHuko hamjambow nilikuwa bize sana leo na ubaya wa haka ka mchezo ketu ukikaanza hutakiwi kuweka simu chini
Wapi qlipo supermarket mwenye taarifa zake anijuze ninamiss ad basiMiss yuh too, jamani mdogo wangu gbefa sijamuona humu kabisaa, namge nae, dem boy, Aisha, Ukhuty, kuna jamaa ana jina Qu....,huwa linanisumbua kweeli kulitaja, na yule jamaa wa dini mbaya Namuogopa ila namuulizia tuu Jamanii, hawa watu wako wapi
Mdada unatakiwa kupambana utakiwi kulilia msaada kutoka kwa makakaKabisa unakubali kushindwa? Komaa mdada,
Mdada nimeshindwa kabisaaaKabisa unakubali kushindwa? Komaa mdada,
Tuuu nilifikiri umeanza kuumwa tena karibu tenaSawa kwa ulivyofikiri poa tuuu
Tuuuu ni msisitizoSawa kwa ulivyofikiri poa tuuu
Mdada unatakiwa kupambana utakiwi kulilia msaada kutoka kwa makaka
Sijapanda basi la kilimanjaro kutoka Manyara muda mrefuMwendokasi sjapanda
Tena jamani hpana!!! Me mzima buehri wa afya furaha yangu kuwaona tena mkiwa wazima sana goldie ink Kituko toxic9 gbefa ukhty@sakayo Blaki Womani na ambao nimewasahau nimewamissTuuu nilifikiri umeanza kuumwa tena karibu tena
Msisitizo uliokua na kumanisha ndani yakeTuuuu ni msisitizo
Mrefu kiasi awe smart kichwani na mavazi n sofa anazotaka kwa mumewe mtarajiwaSijapanda basi la kilimanjaro kutoka Manyara muda mrefu