dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Leo leo ndo umeingia humu then mapema tu majukumu mama eeeeehhh!!!Ijayo n kubwa kuliko iliyoisha nipo sanaaa kuanzia leo
Leo leo ndo umeingia humu then mapema tu majukumu mama eeeeehhh!!!Ijayo n kubwa kuliko iliyoisha nipo sanaaa kuanzia leo
Eeeeeeh!!! Sina majukumu mie sina mwana sina familia hata nipo we utaona nakwambiaLeo leo ndo umeingia humu then mapema tu majukumu mama eeeeehhh!!!
Mrefu anapendeza akitembea kwa madahaMrefu ndio deal nini?, mbona kila mwanamke anapenda mrefu
Soda water nzuri inatoa gasNguvu ya soda
Madaha kwa mtoto wa kiume kweli?Mrefu anapendeza akitembea kwa madaha
Walengwa wapi tena hao?Chini kwa chini taarifa nyeti zinavuja na kuwafikia walengwa
Kweli ulifikiri naongelea wa kiume lah nipo kwa binti zaidiMadaha kwa mtoto wa kiume kweli?
Hao wanatafuta habari kama weweWalengwa wapi tena hao?
Daah haya mkuu umetishaNilimpigia simu mwanamke mmoja niliyekuwa namdai fedha zangu, lakini hakupokea simu yangu.
Nilipiga mara 10 zaidi, akagoma kupokea. Nikitambua mumewe alikuwa safari, nikaamua kumtumia meseji hii:
"Halo dada, ninakupigia siyo kukukumbusha deni langu. Nilitaka tu kukwambia kwamba wasichana wawili walikuwa wakipigana kumgombea mumeo leo hapa mjini. Ulikuwa ugomvi mkubwa na yeye alikuwa akitazama tu, mpaka mmojawao alipofanikiwa kuchoropoka mumeo na msichana mwingine yule aliyebaki wakaondoka."
Baada ya dakika chache akanipigia lakini sikupokea. Aliendelea kupiga karibu mara 21 kisha akatuma meseji hii:
"Ugomvi umetokea wapi?
Wameelekea wapi?
Umewatambua hao wasichana? Tafadhali niambie, nimechanganyikiwa."
Nilisoma ujumbe wake nikaupuuza. Akapiga tena, karibu mara tano na sikupokea, kisha akatuma meseji nyingine:
"Ninazo pesa zako, tafadhali tunaweza kukutana, ili unieleze zaidi?"
Mimi nikamjibu, "Sawa, unaweza kunitumia pesa kwa simu ili nipite kituo cha mafuta niongeze wese, halafu nitakupitia na kukupeleka nyumbani kwa msichana kwa sababu najua aliko."
Dakika mbili baada, nikapokea ujumbe wa salio langu kwamba amenilipa pesa zangu zote.
Nimeizima simu na sasa nimejilaza kitandani nipate usingizi... Sipendi ujinga. Januari ni mwezi Dume lazima ujiongeze
zaidi isizidi maana itakuwa keroKweli ulifikiri naongelea wa kiume lah nipo kwa binti zaidi
Kero pale gari la maji taka linapopita mtaani likimwaga hayo machafu mtaa mzima harufu mbayazaidi isizidi maana itakuwa kero
Ijayo tena jamaniiTena akienda huyo harudi humu mpk wiki ijayo![]()
![]()
![]()
Mbaya zaidi ni kwa watu badala ya kulisimamisha gari na kuwaambia wafunge wao ndio wanakuwa kwa kwanza kushangiliaKero pale gari la maji taka linapopita mtaani likimwaga hayo machafu mtaa mzima harufu mbaya
Mbaya zaidi mamlaka nazo zinapoamua kupotezea....Kero pale gari la maji taka linapopita mtaani likimwaga hayo machafu mtaa mzima harufu mbaya
Atajutra kuwa na Shemela kama wewe, mie simo ImejitypeMhhh me kanichunia nammention n bado ananichunia me mwanamke ajue natakiwa nikimnunia na mm atajutra
Mmh shemeji anachuniwa kweli?Kanichunia hata mie jirani, ila wewe shem ake Mmmh
Mbele wali huko umeishaTena nawahi wali mbele
Nyingi sukari sipendiSoda sio nzuri sana, Ina sukari nyingi
Nyakokingwaswei ndo nini mkuualhamdulillah. Mimi ndo mshindi wa mchezo huu. Nyakokingwaswei