Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kweli hata mie sitaki kuaminiMmh shemeji anachuniwa kweli?
Kweli hata mie sitaki kuaminiMmh shemeji anachuniwa kweli?
Mkuu watu wanaisoma namba mpaka wananena kwa LughaNyakokingwaswei ndo nini mkuu
Kuamini unaweza kutokana na daliliKweli hata mie sitaki kuamini
Dalili mojawapo ya kuonyesha mwaka huu kutakua na njaa ni mvua kutonyesha za kutosha maana wakulima wengi wanategemea kilimo cha mvua na sio cha umwagiliaji.Kuamini unaweza kutokana na dalili
Kuamini unaweza kutokana na dalili
Imejitype hata ileAtajutra kuwa na Shemela kama wewe, mie simo Imejitype
Umeisha wali pilau lipoMbele wali huko umeisha
Dalili mojawapo ya kuonyesha mwaka huu kutakua na njaa ni mvua kutonyesha za kutosha maana wakulima wengi wanategemea kilimo cha mvua na sio cha umwagiliaji.
Umwagiliaji kwani unaweza kuondoa njaa?Dalili mojawapo ya kuonyesha mwaka huu kutakua na njaa ni mvua kutonyesha za kutosha maana wakulima wengi wanategemea kilimo cha mvua na sio cha umwagiliaji.
Ile yako ilikuwa sahihiImejitype hata ile
Sahihi ya mama ndalichako iliyopo kwenye cert yng ya fm4 rahisi kuigaIle yako ilikuwa sahihi
Sahihi ipiIle yako ilikuwa sahihi
Ipi tena usiyoijua wewe apo mkuu, jamani mlale salamaa woteeSahihi ipi
Kuiga ni kubaya sanaSahihi ya mama ndalichako iliyopo kwenye cert yng ya fm4 rahisi kuiga
sana sana mpaka na wao njaa iwaume ndio wataelewa...Kuiga ni kubaya sana
Sana nimewamiss wote humu ndaniKuiga ni kubaya sana
Kushangilia goli inaleta raha huku unanyanyua mikono juuMbaya zaidi ni kwa watu badala ya kulisimamisha gari na kuwaambia wafunge wao ndio wanakuwa kwa kwanza kushangilia
Sana tena sanaKuiga ni kubaya sana
Juu juu juuu zaid,raha sana tena goli lenyewe ulipige dakika za mwsho mwsho weee raha ajabuKushangilia goli inaleta raha huku unanyanyua mikono juu
Kuiga kila kitu unaweza kuwa katika wakati mbayaSahihi ya mama ndalichako iliyopo kwenye cert yng ya fm4 rahisi kuiga