Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,987
Wapemba wanapenda tende sanaUkuta wa tiles wataishia kuteleza tu alafu umeenda juuuu kama wa fensi za wapemba
Wapemba wanapenda tende sanaUkuta wa tiles wataishia kuteleza tu alafu umeenda juuuu kama wa fensi za wapemba
Sanaa tena wanamix na maziwa ndo maana wanazaa zaa ovyo ovyoWapemba wanapenda tende sana
Jamani wa kina nani haoNyinyi vijana ndo mnapanga kumtoroshea zenji Aisha wangu jamani
Hao wanaokupa mwaliko wa kijanja janjaJamani wa kina nani hao
Humu poa tu, nimekuona mahali mdada nikafunga machoLEO mmeamkaje humu

Leo ndio jumatano pekee ambayo nakwenda kukata visa ya kutokomea Denmark kutalii kwenye winter kdgo,,,nikirud ntawaleteen movie kaliii na series za designated survivor
Humu poa tu, nimekuona mahali mdada nikafunga macho![]()
Pouwa sana ila bila kumuona sakayo, mamaafacebook, supermarket na atug bado hakujakaa poaHumu ukhuty ukiona koment tu bac kila kitu powa
Kaka unaambiwa ukubwa jalalaMtihani freshi tu japo naiona supplementary ileee![]()
![]()
dah sijui niende wapi hii nchi kila kona kugumu hadi sitaki kuamini
![]()
![]()
vipi uko poa kaka
Haijakaa powa hata zamiluni piaPouwa sana ila bila kumuona sakayo, mamaafacebook, supermarket na atug bado hakujakaa poa
Mkuu zenji poa sana, kama unatarajia kuoa zenji kazi ni kwako, watoto bikra wapo wengi, nilishafanya tafitiShehe hivi unajua me nataka nioe zenji kule nikimaliza kusoma 2020, nataka oa mngazija mmoja hivi ishallah Allah akijalia nitakualika mkuu..
Pia mkumbuke mchumia juani hulia kivuliniHaijakaa powa hata zamiluni pia
Nyinyi wachoyo sana, hasa aishaPoa mm nipo cjui nyinyi?
Jamani mwenye mume kaja namge aisha yuleee,Nyinyi vijana ndo mnapanga kumtoroshea zenji Aisha wangu jamani
Bure hicho kitu hakuna serikali hii ya magufulimacho yako yatakua na tongo tongo sio bure
Pia nimemsahauHaijakaa powa hata zamiluni pia
Kivulini sana mkuu, wewe bado upo juani au umeshafika kivulini??Pia mkumbuke mchumia juani hulia kivulini
Bure hicho kitu hakuna serikali hii ya magufuli
Kivulini kufika inahitaji kupambana na ukifika kivulini kuna ya kufanya ili ubaki kivulini la sivyo ukibweteka ngoma itarudi motoni na sio juaniKivulini sana mkuu, wewe bado upo juani au umeshafika kivulini??
Kivulini bado But it's a matter of time tu MkuuKivulini sana mkuu, wewe bado upo juani au umeshafika kivulini??