Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Nitajaribu kuto watenga, nitajaribu mara zote kuwakumbuka nyie ni ndugu zangu from another family
Family problems zinarudisha nyuma maendeleo na upendo kupungua sana
Nitajaribu kuto watenga, nitajaribu mara zote kuwakumbuka nyie ni ndugu zangu from another family
Pemba kwa urojo ni noma shehe
Swala muhimu blaki womanishehe ananifurahisha anapo wahi alfajiri kwa swala
Pande ile we acha tu vijana wana munkari hatariMorning shem langu la ukweli endelea kutoa vijizawadi nipige ndogondogo pande ile

Pande ile we acha tu vijana wana munkari hatari![]()
![]()
Kijana mie nipo ng'ang'ari kinoma naangalia wanavojipitisha pitisha tu wakati mbuzi nishamfunga kamba uwanihatari sana utanyang'anywa tonge mdomoni shauri yako pambana kijana
Kijana mie nipo ng'ang'ari kinoma naangalia wanavojipitisha pitisha tu wakati mbuzi nishamfunga kamba uwani
Ukuta wa tiles wataishia kuteleza tu alafu umeenda juuuu kama wa fensi za wapembauwani watamchukua kwa urahisi pindi watakapo ruka ukuta
Wapemba wametawala humu leoUkuta wa tiles wataishia kuteleza tu alafu umeenda juuuu kama wa fensi za wapemba
Humu ukhuty ukiona koment tu bac kila kitu powaLEO mmeamkaje humu
Mtihani freshi tu japo naiona supplementary ileeeWapi gbefa mdogo wangu, vipi mitihani?
dah sijui niende wapi hii nchi kila kona kugumu hadi sitaki kuamini
vipi uko poa kakaShehe hivi unajua me nataka nioe zenji kule nikimaliza kusoma 2020, nataka oa mngazija mmoja hivi ishallah Allah akijalia nitakualika mkuu..Pemba kwa urojo ni noma shehe
Mkuu nialike na mm inshaalah mwenyez mungu atuweke mpk huo mdaShehe hivi unajua me nataka nioe zenji kule nikimaliza kusoma 2020, nataka oa mngazija mmoja hivi ishallah Allah akijalia nitakualika mkuu..
Poa mm nipo cjui nyinyi?Humu ukhuty ukiona koment tu bac kila kitu powa
Nyinyi vijana ndo mnapanga kumtoroshea zenji Aisha wangu jamaniPoa mm nipo cjui nyinyi?
Wananchi watanznia no waogaState of Kuwait ndiyo inaongoza kwa tajiri wa fedha taslimu ktk ulimwengu wa tatu....!!
Republican ni jamhuria kwa waswahili ni mfumo wa wananchi !!
Uwani ehh, nitamchukua nipite nae hiviKijana mie nipo ng'ang'ari kinoma naangalia wanavojipitisha pitisha tu wakati mbuzi nishamfunga kamba uwani
Ukuta umenikumbusha kitu, operesheni UKUTA hivi bado ipo?uwani watamchukua kwa urahisi pindi watakapo ruka ukuta