Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Kuhani hapingwi, msikilize, mkubalie na umtumikie vyema
vyema kuishi maisha ya unyenyekevu na upendo kwa ajili ya maisha ya baadae
Kuhani hapingwi, msikilize, mkubalie na umtumikie vyema
Baadae sio yako, we kula maisha kadiri ya uwezo wakovyema kuishi maisha ya unyenyekevu na upendo kwa ajili ya maisha ya baadae
umekesha kuangalia movies kunapokaribia kukucha ndio usingizi unapamba moto
Mhusika mwwnyewe yani supermarketMimi ndo taarifa nilizopata kutoka kwa mhusika
Supermarket karudi Denmark tayari alikaa hapa tz muda mfupi sana uwa anachungulia humu akipata nafasi.. Good morning friendsMhusika mwwnyewe yani supermarket
Supermarket??? Yan umefanya nitamani daily milk chocolate mda huuMhusika mwwnyewe yani supermarket
... Maana nikiingia supermarket ndo cha kwanza kuchukuaMajukumu ambayo tumebeba wazazi juu ya familia zetu ni za kutukukaMpango kazi wa leo ndo umeanza kwa upande wangu.
Mmeamkaje wapendwa hope mko fine, baadae sana ngoja niende kwenye majukumu
Supermarket yangu vijana wananifirisiMhusika mwwnyewe yani supermarket
Friends goodmorning to you allSupermarket karudi Denmark tayari alikaa hapa tz muda mfupi sana uwa anachungulia humu akipata nafasi.. Good morning friends
Kuchukua sheria mkononi raia juu ya wahalifu jeshi la polisi likikufuma watakuchukulia hatua kali za kinidhamuSupermarket??? Yan umefanya nitamani daily milk chocolate mda huu... Maana nikiingia supermarket ndo cha kwanza kuchukua
Sana upambane na hali yako, nunua majaketi, blankets kukabiliana na hali ya baridiMoto kwa kwenu Arusha ni wa muhimu sana maana kuna baridi sana
Hatua Kali za kinidhamu inapaswa achukuliwe muhalifu* ili iwe fundisho kwa wengineKuchukua sheria mkononi raia juu ya wahalifu jeshi la polisi likikufuma watakuchukulia hatua kali za kinidhamu
Wako wapi mafisadi wa hii nchi walio ifirisi hii nchi, kweli serikali ya magufuli hapa kazi tu,Baadae sio yako, we kula maisha kadiri ya uwezo wako
Baadae nitakufundisha namna ya kumjali mume wakovyema kuishi maisha ya unyenyekevu na upendo kwa ajili ya maisha ya baadae
Supermarket??? Yan umefanya nitamani daily milk chocolate mda huu... Maana nikiingia supermarket ndo cha kwanza kuchukua
Vingine vinafikirika baada ya kupata daily milk chocolateKuchukua milk chocolate tu karrythas? Nilifikiri unafanya shoping Na vingine.

All people are equal.. Big No to racismFriends goodmorning to you all
Baadae nitakufundisha namna ya kumjali mume wako
Supermarket ndio alivyoaga humu ndaniMhusika mwwnyewe yani supermarket