Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wenyewe tunakubali hali ya uchimi ipo imara wakati hela ya kununua nafaka hatuna tunabaki kubadilishana na mbuzi, fedha mtaani zimeenda wapi, au BOT wanachapisha kiasi kidogo cha fedha nauliza tu lakini.
Lakini swali lako ni swali la msingi
 
Sana karibu tena Muheza
Muheza kumechangamka kidogo Ila sio kama tanga town, pia stand ya muheza ni local sana haifanani na hadhi ya mji, ilitakiwa wajenge kama ile ya kange ndio fresh
 
Gharama sana kuwa na mpenzi mwenye wivu, hana hela halafu ana kibamia na hajui kukitumia, utalia kila siku
Siku hizi wewe dada unafunguka kweli sijui walishwa nini maana hapa umejiexpose haswaaa kuna mtu amekumezea mate
 
Back
Top Bottom