Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Tafadhali sana tujitahidi kufanya mambo yanayompendezesha munguushoga sio wa kujadiliwa humu tafadhali
Tafadhali sana tujitahidi kufanya mambo yanayompendezesha munguushoga sio wa kujadiliwa humu tafadhali
Ukame lazima mvua zenyewe hakunampunga sasa hivi umeadimika sijui sababu ya ukame
Fasta niwasalimie, mpo pouwa humu ndani, habari za asubuhi lakini, mmeamkaje, muwe na siku njemaKipindi maalumu hiki sitaki hata kukifatilia nitaumia kichwa bure natamani 2020 ifike fasta
Njema yako tabia ni matunda yaliyotokana na kulelewa vizuri na wazazi wako.Fasta niwasalimie, mpo pouwa humu ndani, habari za asubuhi lakini, mmeamkaje, muwe na siku njema
Kbsa malizia herufi zoteBadoo ni mtandao ambao sijawahi kuuelewa kbsa
Zote hakuna tatizo kabisaKbsa malizia herufi zote
Njema tu mkuu tupo busy tuna ghufulikaFasta niwasalimie, mpo pouwa humu ndani, habari za asubuhi lakini, mmeamkaje, muwe na siku njema
Ghufulika kabisa ndo la muhimuNjema tu mkuu tupo busy tuna ghufulika
Siku njema na kwako pia mpendwaFasta niwasalimie, mpo pouwa humu ndani, habari za asubuhi lakini, mmeamkaje, muwe na siku njema
Wangu mie nimeamka salama, vipi wewe huko mdogo wanguKulala peke yako uogopi dada nikodi nije nikulinde, ujumbe wako umefika, uamke salama wangu
Kitonga ndo wapi mkuu, hongera sana mdogo wangu mie nakuaminiaAnko me sina tatizo naye boom nilipata acha niendelee kumfurahia maana kusoma course ambayo ada yake ni mtaji kwenye maisha msala, naishi vizuri tu Mimi mwanafunzi wa st kayumba kuanzia nusery hadi huku kwenye kitonga
Kitonga ndo wapi mkuu, hongera sana mdogo wangu mie nakuaminia
Anakuponza soma mdogo wangu, aaah nilipitiwa maana ufupi daah, mie nakutakia mafanikio kwenye test ya leoMie nimo kwenye mada kama hii, hivi mbona unataka kutoa siri za ndani tena naona umenogewa nchi hadi unafikia hatua baada ya kusema hawa watu ni futi kadhaa unasema ni nchi kadhaa mhmh wewe Toxic9 anakuponza
Nitakumiss pia mdogo wangu, ila nitavumilia maana najua ni kwa manufaa yetu na taifaKesho mteremko movie kamili ya hesabu inaanza jumatatu hapo nitaisaliti Jf kwa muda dada nitakumiss sana
Taifa linahitaji mapinduzi ya kiuchumiNitakumiss pia mdogo wangu, ila nitavumilia maana najua ni kwa manufaa yetu na taifa
zote hawawezi vijana wa siku hizi, wamezoea mkato tuKbsa malizia herufi zote
Huko umenionea nini tenaa Shemela, habari za asubuhi nduguNakuaminia pia, umenionea huko?
Huko umenionea nini tenaa Shemela, habari za asubuhi ndugu