Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Uendako ukaishi na watu vizuriMungu akutangulie huko uendako
Uendako ukaishi na watu vizuriMungu akutangulie huko uendako
Tunalala baada ya uchovu wa kutwa kutafuta rizikiHapo saa nne tu? Basi wewe pono wengine mpaka saa sita ndiyo tunalala
Vizuri umetangulia ww basi niandalie marafiki wazuriUendako ukaishi na watu vizuri
Uendako ukafanikiwe mipango uliyopangaMungu akutangulie huko uendako
Vizuri pale unapoelewa kuishi na watu ni mtajiUendako ukaishi na watu vizuri
Mtaji usiokuwa na gharamaVizuri pale unapoelewa kuishi na watu ni mtaji
Tunalala mida ya saa sita humu ehh, ila mimi ukiona nipo macho mpaka mida hiyo labda siku hiyo nina match kali na wife, nammendea ifike mida ilee mida yenu ya kuwa na hamu midnight so hapo ndiyo naweza amka nipige show ya kibabeHapo saa nne tu? Basi wewe pono wengine mpaka saa sita ndiyo tunalala
Gharama yake ni unyenyekevu pekeeMtaji usiokuwa na gharama
Wavivu wakina lee empireKuamka mapema kunahitaji moyo wengine wavivu
Kibabe tenaaaa, kwa heriTunalala mida ya saa sita humu ehh, ila mimi ukiona nipo macho mpaka mida hiyo labda siku hiyo nina match kali na wife, nammendea ifike mida ilee mida yenu ya kuwa na hamu midnight so hapo ndiyo naweza amka nipige show ya kibabe
Empire ya muongozaji Lee Daniel walijitahidi sana ila walikosea kuonesha ushogaWavivu wakina lee empire
Heri uniambie, nasikia midnight nyie wanawake huwa na hamu sana na tendo je ni kweli ama tafiti zangu zinanidanganyaKibabe tenaaaa, kwa heri
Pekee ninao mtaji wa kutoshaaa kGharama yake ni unyenyekevu pekee
Tafiti zako zina ukakasi kidogoHeri uniambie, nasikia midnight nyie wanawake huwa na hamu sana na tendo je ni kweli ama tafiti zangu zinanidanganya
Kidogo ungejibu questionnaire yangu ila respondent unaniangusha ukusanyaji wangu wa dataTafiti zako zina ukakasi kidogo
Uliyopanga na ww mungu akufanikishie keshoUendako ukafanikiwe mipango uliyopanga
Ushoga siku hzi umeshamiri sana Hollywood bora series yangu ya shooter mpaka sasa sijaona sijui huko mbeleEmpire ya muongozaji Lee Daniel walijitahidi sana ila walikosea kuonesha ushoga
Mungu anakuonaMie nitakunong'oneza kitu baadae, eti mamaafacebook, hivi tanga kuna dawa za mapenzi maana mkoa wa Tanga mhmhh hamjambo, nataka dawa ila sio za wapiga ramli nataka kitu kisicho mkwaza Mungu
Kidogo siyo sana maana yake kuna ukweli hapoTafiti zako zina ukakasi kidogo