mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Kubatikisha ndo zanguWewe nimeshasoma sasa unataka kubatilisha
Kubatikisha ndo zanguWewe nimeshasoma sasa unataka kubatilisha
Kibabe tena daah haina tofauti na ubakajiTunalala mida ya saa sita humu ehh, ila mimi ukiona nipo macho mpaka mida hiyo labda siku hiyo nina match kali na wife, nammendea ifike mida ilee mida yenu ya kuwa na hamu midnight so hapo ndiyo naweza amka nipige show ya kibabe
Pekee waweza kuaanda mikakati ya mwaka kuendana na unachohitajiGharama yake ni unyenyekevu pekee
Heri wewe umesemaKibabe tenaaaa, kwa heri
Siku yangu leo imemalizika vizuri namshukuru MunguGharama sana kuwa na mpenzi mwenye wivu, hana hela halafu ana kibamia na hajui kukitumia, utalia kila siku
Kesho ijuma nilifikiri jpili baada ya leo kufananisha na jmosiUliyopanga na ww mungu akufanikishie kesho
Mbele kwa mbele ndo wimbo unaopendwa na kudanganya watu wengi kipindi maalumUshoga siku hzi umeshamiri sana Hollywood bora series yangu ya shooter mpaka sasa sijaona sijui huko mbele
Anakuona hata ukijificha sehemu iliyofichikaMungu anakuona
Hapo palipofichwa file la mtuhumiwa haliwezi onekana hata kwa darubiniKidogo siyo sana maana yake kuna ukweli hapo
Zangu shughuli zinazidi haswa wakati wa w.endKubatikisha ndo zangu
W.end naitumia kwenda shamba, nashukuru Mungu natumia kilimo cha umwagiliaji kwa hiyo mwaka huu tukivuna tutauza bei ya juu,maana wakulima wengi wanategemea mvua, kufa kufaanaZangu shughuli zinazidi haswa wakati wa w.end



Ipo tu na itabaki tuMchana mwema na kwako pia mpendwa, piga kitabu dogo langu la ukweeli jf ipo tuu
Umesahau nini nilikuambia unisaidie kutafuta, Toxic9 ni shaidi usikataeMbali na yote mie kwetu wa mwisho, au Umesahau
Kesho mteremko movie kamili ya hesabu inaanza jumatatu hapo nitaisaliti Jf kwa muda dada nitakumiss sanaUone namna utakavyopasua hiyo test ya kesho
Anko me sina tatizo naye boom nilipata acha niendelee kumfurahia maana kusoma course ambayo ada yake ni mtaji kwenye maisha msala, naishi vizuri tu Mimi mwanafunzi wa st kayumba kuanzia nusery hadi huku kwenye kitongaYanakaba hasa kipindi hiki cha anko
Mie nimo kwenye mada kama hii, hivi mbona unataka kutoa siri za ndani tena naona umenogewa nchi hadi unafikia hatua baada ya kusema hawa watu ni futi kadhaa unasema ni nchi kadhaa mhmh wewe Toxic9 anakuponzaMfupi wapi jamani, kwanza mtu mfupi ana inch ngapi usijekuta na mie nimo
Maarifa ya jamii,hili somo nilikua nalichukiaFunguo wa maisha ni ELIMU kwa maana ya maarifa
Tanzania haiishi vitukoMoja kati ya siku watanzania tulifanya jambo la kihistoria ni pale uchaguzi 2015 tulipo mchagua JPM kama raisi wetu wa Tanzania