Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mkuu hiyo app ya videoorder ilikuwa inafanya kazi kitambo kidogo, saivi haipakui tena video kama YouTube inavyogoma nafikiri walifungia kupakua video moja kwa moja
Moja kwa moja kivipi mkuu ikiwa mimi ndo ninayo itumia hyo? enewei jaribu tube mate pia inafaa kwa simu
 
Back
Top Bottom