Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,753
- 51,237
Tu pacha, kunyoka ni muhimu sanaaaaLazima tena magu atatumia hata viboko mradi tunyooke tu
Tu pacha, kunyoka ni muhimu sanaaaaLazima tena magu atatumia hata viboko mradi tunyooke tu
Tuone pia kama huko itakubali, ila utakuwa umeni overtake mkuuNiwezavyo imeshindikana,hebu jaribu kwa mpesa yangu tuone

Mkuu isije kuwa unanisubirisha ferry ningojee train badala ya stationSawa endelea tu kusubiri mkuu

Namba tutaisoma hasa mwaka huu mpya 2017Lazima tujishughulishe na ujasiriamali mbali mbali ili tujikwamue, la sivyo tutazidi kuisoma namba!!
2017-2020 mbali pacha umejipanga VP kumkabili huyu Mr.prezdarNamba tutaisoma hasa mwaka huu mpya 2017
Mkuu isije kuwa unanisubirisha ferry ningojee train badala ya station![]()
![]()
![]()
mkuu hata embe linaweza dondoka kwenye mchungwa.. Only by miracles, wait your miracles mkuuMkuu mie niwaachie jukwaa sasa nijipumzishe kesho niwahi kulisukuma gurudumu.![]()
![]()
mkuu hata embe linaweza dondoka kwenye mchungwa.. Only by miracles, wait your miracles mkuu
Prezdar uchaguzi2020 sera/ilani yangu ipo sawa mgombea binafsi imegusa kila mahala na maisha ya kila mtanzania ataishi kama libya ya Gaddafi2017-2020 mbali pacha umejipanga VP kumkabili huyu Mr.prezdar
Gaddafi hatohaulika na walibya ujanja wa France na USA upumbav kwa libyaPrezdar uchaguzi2020 sera/ilani yangu ipo sawa mgombea binafsi imegusa kila mahala na maisha ya kila mtanzania ataishi kama libya ya Gaddafi
Lakini una maswali mengi mambo ya BOT waulize wenyeweWenyewe tunakubali hali ya uchimi ipo imara wakati hela ya kununua nafaka hatuna tunabaki kubadilishana na mbuzi, fedha mtaani zimeenda wapi, au BOT wanachapisha kiasi kidogo cha fedha nauliza tu lakini.
Mungu pia akubariki, usiku mwema lala unonoMkuu mie niwaachie jukwaa sasa nijipumzishe kesho niwahi kulisukuma gurudumu.
Niwatakie usiku mnono wenye ulinzi wa Mungu
Lala unono pia nawe mkuu, mdogo wangu gbefa akija mwambie nimetangulia kulalaMungu pia akubariki, usiku mwema lala unono
Tatizo ni pale unapotamani mambo makubwa wakati uwezo mdogo..Libya Gaddafi aliijenga kwa kweli, isipokuwa watu wake kutokujua kwao thamani yake ndio tatizo
Wenyewe hawana majibu, ukiona mtu una maswali mengi kichwani basi ujue unaanza kuelewaLakini una maswali mengi mambo ya BOT waulize wenyewe
Kulala mapema katikati ya wiki ni ishara kwamba mnachapa kazi kwa bidii wakati wa mchanaLala unono pia nawe mkuu, mdogo wangu gbefa akija mwambie nimetangulia kulala
Tatizo wa libya kukosa maarifa ndiyo kuangamia kwa taifa lao, sahivi wanajutiaLibya Gaddafi aliijenga kwa kweli, isipokuwa watu wake kutokujua kwao thamani yake ndio tatizo
Kuelewa nini sasa, wenyewe hawajui hela iko wapi na kila siku wazitoa photocopyWenyewe hawana majibu, ukiona mtu una maswali mengi kichwani basi ujue unaanza kuelewa
Kulala mapema mimi huwa nashindwa mida hii ya mamaafacebook kuja hewani,Lala unono pia nawe mkuu, mdogo wangu gbefa akija mwambie nimetangulia kulala
Mchana lazima kuchapa kazi mpaka unahisi masaa hayatoshiKulala mapema katikati ya wiki ni ishara kwamba mnachapa kazi kwa bidii wakati wa mchana