antidot
Member
- Dec 30, 2016
- 96
- 195
Ama washirika wakeMjomba magufuli ama
Ama washirika wakeMjomba magufuli ama
Wake naona, vipi we jamaa antidot upo? Umekuwa kimya sana, karibu pweza aliniletea sakayo toka TangaAma washirika wake
Tanga raha jamani , napenda sana pale panaitwa kange, nipo t9 , majukum mengi ndugu yanguWake naona, vipi we jamaa antidot upo? Umekuwa kimya sana, karibu pweza aliniletea sakayo toka Tanga
Amaaa, hehee toxic9 wewe ni changamoto. Mjomba wangu mieMjomba magufuli ama
Tanga rahaa asikuambie mtuWake naona, vipi we jamaa antidot upo? Umekuwa kimya sana, karibu pweza aliniletea sakayo toka Tanga
Ndugu yangu majukumu ndo yanatufanya tuweze kukabiliana na maishaTanga raha jamani , napenda sana pale panaitwa kange, nipo t9 , majukum mengi ndugu yangu
Maisha ndiyo yatufanya mda mwingine tupotee onlineNdugu yangu majukumu ndo yanatufanya tuweze kukabiliana na maisha
Online huwezi kuwa muda wote, inabidi utoke ukawajibike humu ni kwa ziada sanaMaisha ndiyo yatufanya mda mwingine tupotee online
Mie nawaza tu sakayo kama hujafana na baba, utakuwa hot samahani lakini nimewaza tu dada, nitumie pwezaAmaaa, hehee toxic9 wewe ni changamoto. Mjomba wangu mie
Mtu wangu nimesoma usagara pale advance level, Tanga naijuwa sana.Tanga rahaa asikuambie mtu
Pweza pweza! Sakayo mbona simuelewi t9Mie nawaza tu sakayo kama hujafana na baba, utakuwa hot samahani lakini nimewaza tu dada, nitumie pweza
Yangu macho yanaishanga avatar yako mkuu, Google hapo kwenye oo ilikuwajeTanga raha jamani , napenda sana pale panaitwa kange, nipo t9 , majukum mengi ndugu yangu

Ilikuaje zaidi ya fashion mpya ndugu yangu! Tz ya viwanda hiiYangu macho yanaishanga avatar yako mkuu, Google hapo kwenye oo ilikuwaje![]()
![]()
![]()
T9 hutakiwi kumuelewa encryption hizoPweza pweza! Sakayo mbona simuelewi t9
Hizo nahisi ni janja janja tuu! Kuna sehem waelekea mkuuT9 hutakiwi kumuelewa encryption hizo
Hii sera na ilani ya Mheshimiwa magufuli ya TZ ya viwanda naona mkoa mpya wa Simiyu wameanza kuitekeleza maana kila wilaya nasikia kuna viwanda vya katiIlikuaje zaidi ya fashion mpya ndugu yangu! Tz ya viwanda hii
Mkuu kuomba pweza tu kuna tatizo gani antidot unaanza kunipa mashaka na uwezo wako wa kufikiri sheheHizo nahisi ni janja janja tuu! Kuna sehem waelekea mkuu
Shehe wangu najaribu Ku relate umuhimu wa pweza kwenye kizazi hiki nashindwa kukuelelewa sheheMkuu kuomba pweza tu kuna tatizo gani antidot unaanza kunipa mashaka na uwezo wako wa kufikiri shehe
Pweza wataka mkomesha wifi ake mie sioMie nawaza tu sakayo kama hujafana na baba, utakuwa hot samahani lakini nimewaza tu dada, nitumie pweza
Sana karibu tena MuhezaMtu wangu nimesoma usagara pale advance level, Tanga naijuwa sana.