Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kukuchunga tena, mwambie wifi mtu mzima hachungwi bwana anaheshimiwa nae atajiheshimu
Atajiheshimu it is apoint, ila abiria chunga mzigo wako, usipo chunga mzigo wako basi huna wivu, usipo kuwa na wivu basi hakuna mapenzi ni mnadanganyana, nipo deep sana kwenye hili somo, tuhame huko sakayo
 
Sakayo hana tabu, tayari nshahama mie ila naamini wivu usiwe kigezo cha kumnyima mwenzako uhuru
 
Back
Top Bottom