Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wanajutia kutokupiga kura, kura moja yaweza leta mabadilikoTatizo wa libya kukosa maarifa ndiyo kuangamia kwa taifa lao, sahivi wanajutia
Wanajutia kutokupiga kura, kura moja yaweza leta mabadilikoTatizo wa libya kukosa maarifa ndiyo kuangamia kwa taifa lao, sahivi wanajutia
Kuelewa kunapelekea kuwa na ujasiri wa jambo unalolizungumziaWenyewe hawana majibu, ukiona mtu una maswali mengi kichwani basi ujue unaanza kuelewa
Mchana kumekuwa na jua na joto kaliKulala mapema katikati ya wiki ni ishara kwamba mnachapa kazi kwa bidii wakati wa mchana
Wanajutia sana baada ya kufanganywa kwamba watakuwa watapewa amani na nchi itakuwa shwariTatizo wa libya kukosa maarifa ndiyo kuangamia kwa taifa lao, sahivi wanajutia
Kali ya mwakaMchana kumekuwa na jua na joto kali
Shwari mkuu, habari za usikuWanajutia sana baada ya kufanganywa kwamba watakuwa watapewa amani na nchi itakuwa shwari
Photocopy aina ya Canon ni nzuri sana wino wake unadumuKuelewa nini sasa, wenyewe hawajui hela iko wapi na kila siku wazitoa photocopy
Unadumu kwa muda mrefuPhotocopy aina ya Canon ni nzuri sana wino wake unadumu
Kuja hewani? Mapema unayozungumzia ni saa ngapiKulala mapema mimi huwa nashindwa mida hii ya mamaafacebook kuja hewani,
Mdogo mdogo wananchi wataelewa kinachoendeleaTa
Tatizo ni pale unapotamani mambo makubwa wakati uwezo mdogo..
Kinachoendelea ni ukiritimba na si kingineMdogo mdogo wananchi wataelewa kinachoendelea
Saa ngapi? saa mbili au tatu umewahi, ila kulala saa nne ndiyo muda ambao mimi nikiweka mwili kitandani basi nalala hapo hapoKuja hewani? Mapema unayozungumzia ni saa ngapi
Mrefu sana hata kuangua maembe hatumii ngaziUnadumu kwa muda mrefu
Hapo saa nne tu? Basi wewe pono wengine mpaka saa sita ndiyo tunalalaSaa ngapi? saa mbili au tatu umewahi, ila kulala saa nne ndiyo muda ambao mimi nikiweka mwili kitandani basi nalala hapo hapo
Tunalala saa nane wengine tukilala hata hiyo saa sita tunachelewa kuamka ila tukilala late sana ndo tunawahi kuamkaHapo saa nne tu? Basi wewe pono wengine mpaka saa sita ndiyo tunalala
mkuu ingekua ndo hvo nchi isingekua na njaa coz kila mwenye bustani ya maua angeomba ugeuke mihogo asage unga by miracles,,,,![]()
![]()
mkuu hata embe linaweza dondoka kwenye mchungwa.. Only by miracles, wait your miracles mkuu
Hapo utakuwa na uchovu ndo maanaSaa ngapi? saa mbili au tatu umewahi, ila kulala saa nne ndiyo muda ambao mimi nikiweka mwili kitandani basi nalala hapo hapo
Mungu akutangulie huko uendakoMkuu mie niwaachie jukwaa sasa nijipumzishe kesho niwahi kulisukuma gurudumu.
Niwatakie usiku mnono wenye ulinzi wa Mungu