gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Test ya theory haumizi kichwa kama ya practical,Mchana jua lote hili una gonga show mhmh mdogo wangu hebu kasome kesho una test
Kesho ni maandishi ya maherufi sio ya mahesabu kama ya next week
Test ya theory haumizi kichwa kama ya practical,Mchana jua lote hili una gonga show mhmh mdogo wangu hebu kasome kesho una test
Wewe nimeshasoma sasa unataka kubatilishaNimesoma nilichoandika sikukuandikia wewe
Kaka yako nilipenda kitabuChuo chenu ulikuwa unakimbiza kwa kutoka na mamanzi wakali kama sakayo mvalishwa viatu bisha kaka!
kuliko kitu chochote kileWewe mdogo wangu mke ninae na kanizalia mtoto wa kike mmoja na bado nampenda sana usiogope, hata sakayo anamjua wifi yakeMungu anakuona hujue kaka, si una mke wewe?
Week ijayo nitafute nikusaidie masomo magumu kwako, enzi za chuo nilipenda kusoma maana nilitumwa na kijiji chetu na nilichangiwa ada,Test ya theory haumizi kichwa kama ya practical,
Kesho ni maandishi ya maherufi sio ya mahesabu kama ya next week
Yake mawazo mkeo anayo mengi anajua tu unamchepuka Ila anakumbia hivi mchepuke tu Ila asijueWewe mdogo wangu mke ninae na kanizalia mtoto wa kike mmoja na bado nampenda sana usiogope, hata sakayo anamjua wifi yake
Ada huku amelipia Jpm mkuu,,Week ijayo nitafute nikusaidie maaomo magumu kwako, enzi za chuo nilipenda kusoma maana nilitumwa na kijiji chetu na nilichangiwa ada,
Asijue mheshimiwa tena??ahhhh ni lazima ajue, pale simuyu kuna gharama za ujenzi wa hospitali yule mzabuni alitoa quotation ya billion 46 itagharimu ujenzi hapo ndipo magufuli akasema haiwezekani jengo linatakiwa ligharimu billion 10Yake mawazo mkeo anayo mengi anajua tu unamchepuka Ila anakumbia hivi mchepuke tu Ila asijue
Billion 10 zitaleta maafa we subiri uoneAsijue mheshimiwa tena??ahhhh ni lazima ajue, pale simuyu kuna gharama za ujenzi wa hospitali yule mzabuni alitoa quotation ya billion 46 itagharimu ujenzi hapo ndipo magufuli akasema haiwezekani jengo linatakiwa ligharimu billion 10
Mchana mwema na kwako pia mpendwa, piga kitabu dogo langu la ukweeli jf ipo tuuSema animiss na Mimi pia ndio maana namkimbia...
Kesho Nina test wakuu ndio maana nanyapia nyapia humu mguu ndani mguu nje ila baadae tutakuwa sote wakuu mchana mwema
Kulala mchana nao ni ugonjwa, waweza tafuna godoro ukifikiri ndo wala lunchMamy mapinduzi n kulala
Mbali na yote mie kwetu wa mwisho, au UmesahauKabisa tangu uliponinyima Mdogo wako upendo umepungua kiasi wewe nipe uone utarise kama vita ya mashariki ya mbali
Umesahau kwamba wa mwisho ndo alifungia kazi!Mbali na yote mie kwetu wa mwisho, au Umesahau
Kazi mie ndo nilifunga kabisaUmesahau kwamba wa mwisho ndo alifungia kazi!
Uone namna utakavyopasua hiyo test ya keshoBillion 10 zitaleta maafa we subiri uone
Kazi ya makomandoo wa jeshi letu kwa kweli imetukuka, wapo vizuri kweli tuna makomandooUmesahau kwamba wa mwisho ndo alifungia kazi!
Billion 10 ndo matarajio yangu kuikusanya baada ya kufungua miradiAsijue mheshimiwa tena??ahhhh ni lazima ajue, pale simuyu kuna gharama za ujenzi wa hospitali yule mzabuni alitoa quotation ya billion 46 itagharimu ujenzi hapo ndipo magufuli akasema haiwezekani jengo linatakiwa ligharimu billion 10
Yanakaba hasa kipindi hiki cha ankoAda huku amelipia Jpm mkuu,,
Sina hata mawazo maisha ya kawaida tu naishi tatzo masomo ndio yanakaba
Asijuee, atajua tu mkuuYake mawazo mkeo anayo mengi anajua tu unamchepuka Ila anakumbia hivi mchepuke tu Ila asijue