Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

Mlianza kusema mlinzi wa rais katembea lakini haikuwa hivyo na sasa mmehamia kwa Mpango
Mkuu , naona wewe umefikiria vibaya. Hakuna aliyesema Mpango kananilii...

Ila nimesikia eti VP ni ndugai😁😁😁
Mambo ni yaleyaleeeee
 
Dah phillipo na Kidata walimpiga majungu Rishad Bade akatimuliwa kama mbwa. Haya maisha.

Mrema bosi wa Tanesco yuko zake likizo moshi ya krismas anatimuliwa kama mbwa koko kwa dharau na dhihaka.

Tukanyage ardhi ya YESU kwa nidhamu.
Nchi sasa itaemdeshwa kwa hekima na busara.
Siyo kwa kebehi zile... so shame!!
 
Ni siku sasa sijamuona Wazir wa Fedha Philipo Mpango , kwenye hizi amsha amsha za msiba sijamuona kabisa Wazir wa Fedha , pengine yupo na anahudhuria Ila Mimi binafs sijamuona ..... Kwa yeyote anayefahamu alipo anijuze ...moja ya mawaziri nao wakubali ..na namuombea awemo kwenye Baraza lijalo la mama Samia
Jana alikuwepo uwanja wa Taifa kuaga mwili wa Hayati
 
I heard kuna Msiba wa Minister umetokea but utakuwa released in few days a head after buried of Jp
Si nasikia mlisema hata yule bodyguard wa aliekuwa mkulu amefariki kenya, tunasubiri mrejesho. Watu bwana, yaani sasahivi mmekaa mkiombea watu wafe, kwa hizo roho za kuiaji na kisasi hata CCM hawawezi kubali kuwapatia nchi kizembe, maana wanajua kabisa haitakuwa salama kwao. Chukulia mfano hoja za Lissu kule Twitter, nani mjinga aje ampe nchi?
 
Back
Top Bottom