Kama katiba itabaki kuwa hii, CHADEMA haitawahi kutawala nchii hii. Ndiomaana wenzako wanakomalia katiba mpya.
Na kwa mwenendo roho zenu za visasi mnazoonyesha kule twitter mkiongozwa na viongozi wenu wa kitaifa kama Lissu, sidhani kama CCM itakuwa tayari kuwachongea barabara muingie kwenye utawala,maana usalama wao utakuwa ni mdogo sana.
Nyinyi bakini kuwa waongeaji na wakosoaji, au niamue kujipendekeza CCM kama mnavyofanya sasahivi,au mpenyeze watu wenu wakatawale wakiwa CCM kitu ambacho ni kigumu sana.
CHADEMA KUTAWALA HII NCHI NI NDOTO.