Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

Kupumua hewa hiyo hiyo iliyotoka ndani ya mwili wako ni mbaya zaidi.
Kwa akili yako unadhani kinachoingia katika mwili kupitia mapafu ni nini? Hewa au Oksijeni? Kwa akili yako unadhani ukivaa barakoa unakuwa unavuta hewa iliyotoka kwenye mapafu ambayo haina oksijeni?
 
Kila mtu ana siku yake ya kukutana na ukweli. Na wewe yako itafika na utaujua ukweli tu.
Yesu kristo alisema mtaijua kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru.

Ukweli ni kua mambo ya mungu ni hadithi tu za kutunga.
 
Asimamie ukweli kuwa Tanzania hakuna Korona ila yeye alipata maambukizo ya kupumua kutokana na aleji ya maua ya embe na hakuna sababu ya kuvaa barakoa.
Mbona sababu hiyo ya 'allergy' ndiyo yenyewe hasa ya kumfanya avae barakoa mkuu 'elvischirwa'?
 
Hizi ni habari njema.....lakini ni habari mbaya kwa watangaza vifo......
 
Kwa akili yako unadhani kinachoingia katika mwili kupitia mapafu ni nini? Hewa au Oksijeni? Kwa akili yako unadhani ukivaa barakoa unakuwa unavuta hewa iliyotoka kwenye mapafu ambayo haina oksijeni
Tunasema hewa (air) kwasababu tunavuta za aina nyingi; kuna nitrogen (78%), oxygen (21%) na zingine zenye asilimia ndogo kama neon, carbon dioxide, hydrogen n.k
 
Hakimu Mfawidhi, I beg to differ with you. In everything we gotta do, God should come first. And all other human being methodologies we normally call them breads (Luke 4:4).
 
Tatizo anaishi kwa kutegemea akili ya jiwe

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Hawa ni wasomi wenye akili safi kabisa na heshima hata nje ya nchi.

Njaa gani hiyo inayomwondoa akili kabisa mtu kiasi hiki?

Uwaziri? Kuwa waziri serikalini ni hadhi kubwa wanayoogopa ikiondoka watabaki bila kuheshimika?

Huyu Mpango mbona alikuwa na nafasi nzuri tu ya kufundisha wengine baada ya kuponea chupuchupu; lakini badala yake anaonyesha uijinga mkubwa hivi?
 
One of the ways to help reducing the spread is putting on masks. And washing hands. Human beings are social animals. You can't stop them meeting.
The disease is killing us because, no matter what, we still need each other's care. For example, a kid from school is always a kid to his parents. How do we know what happens when they go to schools?
 
Tunasema hewa (air) kwasababu tunavuta za aina nyingi; kuna nitrogen (78%), oxygen (21%) na zingine zenye asilimia ndogo kama neon, carbon dioxide, hydrogen n.k
Wewe unavuta Nitrogen?
 
Back
Top Bottom