Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

Kama havai barakoa ikirudi tena inamzoa mwambieni huu ugonjwa unapenda vigogo.
Ama kweli Mungu mkubwa, CHADEMA walitutangazia kabisa kuwa huyu jamaa keshakata kamba! Ahimidiwe mungu wa mbinguni anayejua kuwaumbua waongo, wanafiki, na wazandiki.
Btw, wewe unacheka kovu, una uhakika kweli wewe huwezi kupata jeraha?
 
Ni siku sasa sijamuona Wazir wa Fedha Philipo Mpango , kwenye hizi amsha amsha za msiba sijamuona kabisa Wazir wa Fedha , pengine yupo na anahudhuria Ila Mimi binafs sijamuona ..... Kwa yeyote anayefahamu alipo anijuze ...moja ya mawaziri nao wakubali ..na namuombea awemo kwenye Baraza lijalo la mama Samia
 
Utamwona tu mkuu
 
Wako kwenye mipango mingine kwaajili ya taifa hili

😐👣👣👣👣
 
Alikuwepo kwenye kikao cha baraza la mawaziri juzi! tafuta picha zipo mitandaoni
 
I heard kuna Msiba wa Minister umetokea but utakuwa released in few days a head after buried of Jp
Kigogo pia ametoa hzo hints ndo na Mimi nikaja niulizie Wazir wangu kipenz kama anaonekana onekana kitaaa
 
Ni siku sasa sijamuona Wazir wa Fedha Philipo Mpango , kwenye hizi amsha amsha za msiba sijamuona kabisa Wazir wa Fedha , pengine yupo na anahudhuria Ila Mimi binafs sijamuona ..... Kwa yeyote anayefahamu alipo anijuze ...moja ya mawaziri nao wakubali ..na namuombea awemo kwenye Baraza lijalo la mama Samia
Utamuona kesho bungeni!
 
Back
Top Bottom