Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

Si nasikia mlisema hata yule bodyguard wa aliekuwa mkulu amefariki kenya, tunasubiri mrejesho. Watu bwana, yaani sasahivi mmekaa mkiombea watu wafe, kwa hizo roho za kuiaji na kisasi hata CCM hawawezi kubali kuwapatia nchi kizembe, maana wanajua kabisa haitakuwa salama kwao. Chukulia mfano hoja za Lissu kule Twitter, nani mjinga aje ampe nchi?
Kati ya Mh Lissu na Mh Majaliwa nani Kilaza/Mzushi?? Image ya ccm iko kwa Chalamila (RC Mbeya)
 
Ni siku sasa sijamuona Wazir wa Fedha Philipo Mpango , kwenye hizi amsha amsha za msiba sijamuona kabisa Wazir wa Fedha , pengine yupo na anahudhuria Ila Mimi binafs sijamuona ..... Kwa yeyote anayefahamu alipo anijuze ...moja ya mawaziri nao wakubali ..na namuombea awemo kwenye Baraza lijalo la mama Samia
Mmeanza tena, mnakera ninyi mfyuuuuuu!
 
Yule Mpemba haibiwi kura, wote waliopita bila kupingwa wamepata upepo wa kisulisuli na wengine wanakufa bila kupingwa.
 
Kati ya Mh Lissu na Mh Majaliwa nani Kilaza/Mzushi?? Image ya ccm iko kwa Chalamila (RC Mbeya)
Kwahiyo kwa zile fikira za Lissu kwenye twitter yake zilizojaa maudhui ya chuki na visasi kwa CCM na wafuasi wake, ndo mnategemea sikumoja CCM itakubali aongoze hii nchi ? Kubalini kwamba wapinzani ntakuwepo sikuzote kwaajili ya kuongea na si kutawala.

Huo ujinga CCM haina, nyinyi kubalini kujipendekeza kama mlivyoanza Sasa hivi, eti oooh mama yetu, mwendo ni uleule,VP ni NDUGAI au BASHIRU.
 
Back
Top Bottom