Uzi wa vyakula tu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
158,352
2,000
IMG_20210503_150739_336.jpg
 

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
5,776
2,000
Ahaaa Usinichoke mie kupika sijui hata maharage siwezi....Labda chai tuu

Hayo macaroni unaunga tuu sio
Mafuta....vitunguu maji....nyanya basi ?
Iko hivi : Hayo macaroni ni kama tambi au spaghetti zinauzwa kwenye packet zipo plain hazina taste yoyote.

Bahati mbaya mie yameisha hapa ngekupigia picha.

Sasa kupika yake: unayachemsha yenyewe mpka yawive yawe laini kiasi. Then unachuja mana yakiiva huwa yanabaki na maji yale ulochemshia so uyachuje ili yabaki makavu.

Then unapika kama roast la nyama ya kusaga au kuku alonyambuliwa. Kwenye roast sasa ndio unakarangiza ivo vitunguu maji, nyanya, na nyanya ya kopo plus spices kiasi.

Roast likishakolea kadri upendavyo.....unamimina yale macaroni yako ulokwisha yachemsha then unachanganya vizuurrriiii. Chakula tayari kwa kuliwa
 

hazardous

Member
Apr 3, 2020
80
125
Zipi zile za kupikwa au za Kulia wali?

Kama zile za kupikwa like mkono wa tembo unaweza ndio ila yai lako lipige na unga wa ngano kdg kama kijiko kimoja liwe zito ndio ichovee then unakaanga kwa deep frying
Zile za kulia ubwabwa nasema..za njano zile
Nimewaza hivi uchukue uziponde ponde uchanganye na yai alaf ukaange kama chapati au vyovyote vile
Sijui itamake sense kweli ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom