Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Mie natumia hizi. Pasta.Hizi ni zile tambi za kawaida ?
Sio zile nyengine local made.
Zile mie hupenda kupika nyeupe za nazi.
Mie natumia hizi. Pasta.Hizi ni zile tambi za kawaida ?
sjakuelewa hapa mkuu! nmemkwaza nan?Ha haaaaa haaa. Lol.
Pole sana, ushakwaza inabidi kuomba sorry
Sijatoa talaka lakini na sitarajii kufanya hivyo asilani abadani![]()

Unakula hivyo hivyo boss kwa kijiko.,Najua humu ni misosi ya kuliwa Sasa hio,
Inaliwaje na Karimati,chapati, unachanganya na chakula chochote au unakula hvyo hvy na kijiko tuu

Mshana Jrsjakuelewa hapa mkuu! nmemkwaza nan?
sawaMshana Jr
anko, ww humu kila mwanamke mzur ni mke wako, ss wadogo ako tutaoa nan?? akina Yna2,Demiss,Depal,Miss natafuta, pl wote wako. tafadhal tafadhal naomba niachie huyu!!!!Sijatoa talaka lakini na sitarajii kufanya hivyo asilani abadani![]()
Hapana Ruge Ninaye mmoja tuu naye ni Angel Nylonanko, ww humu kila mwanamke mzur ni mke wako, ss wadogo ako tutaoa nan?? akina Yna2,Demiss,Depal,Miss natafuta, pl wote wako. tafadhal tafadhal naomba niachie huyu!!!!






Poa usijali.Nataka nijue kupika kama wewe nifundishe
Vya sukari?Je viazi vitamu ushawahi kupika kwa makorombwezo mengi meng !?
Ha haaaaa haaa. Hapana mkuu. Hata mimi narudia rudia pia.Inaonekana Mzunguko wako wa msosi ni tofaut na Sisi
Sis kila siku tunarudia rudia chakula
Ndio ivo sasa. Waweza pika anytime kumbe.Mimi sio muislamu
