Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,116
- 2,490
mbona kama wadudu?
Ni funza hao, naskia wanavirutubisho bwelele.
mbona kama wadudu?
Ndizi huli mzee? Una allergy au?Kwel tunatifautiana..mi silag hizo kitu kabisa.sipend yan...
Hinilishi
1.uji
2.kande
3.ndizi
Miaka 800
Sijawahi kula hii kitu asee.View attachment 1769959
Moja ya biriani baya kula ilikua hili, wapika mabiriani kuna muda wanatulia tu hela zetu
Hiyo biriani au wali wa rangi?!View attachment 1769959
Moja ya biriani baya kula ilikua hili, wapika mabiriani kuna muda wanatulia tu hela zetu
Hiyo biriani au wali wa rangi?!
Hii sasa ni picha ya maharage ugali.Chakula cha taifa
View attachment 1758573
Hiyo picha ya juu ni nini?
Fish katlesHiyo picha ya juu ni nini?
Aaah inavutia sanaFish katles
Hapo ulipigwa, hebu nialike siku kuu moja nije nikupikie biriani!wenyewe wanaita biriani ndiyo maana nikasema ni mojawapo ya biriani baya kula, kuanzia Mchuzi, kachumbari hadi huo wali wenyewe
Vitu vya Burning spear steak ranch!
hivyo vilivyo katwa vipisi vipisi vyeupe Ni nin?
hivyo vilivyo katwa vipisi vipisi vyeupe Ni nin?