ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,629
lol
Msosi wa kishua huu! 👌
Watu walimshangaa Bill Gates kula wali ndondo kule Tanga! Yaani kama hawajui utamu wa wali ndondo!wali na ndondoView attachment 1775199
Umetengeneza vizuri, mlongo
Kitu gani hiki?
😂😂😂😬😬Nilifikiri boobs!![]()
Asante mlongo😬Umetengeneza vizuri, mlongo
Mama mjengo kumbe upo vizuri hivi
huu ndo wenyewe bossMsosi wa kishua huu!![]()

My dear naona unakunywa uji kwa picha ya samaki hapo😀View attachment 1765620
Uji wa Mchele wenye hiriki
Ba mjengo najifunza badoMama mjengo kumbe upo vizuri hivi
Huu mchele wa aina hii unapatikana wapi?
Unapatikana supermarket lakini hata kwa maduka ya vyakula baadhi wanauza,unaitwa BasmatHuu mchele wa aina hii unapatikana wapi?
😁 😁 😁Nitakulipa!![]()
DAAAH