Uzi wa vyakula tu

f1d745b7a3f2783542c3802e312bafb6.jpg
ad8565a032be52e5df77b97d46de1509.jpg
Msosi wangu pendwa
 
Hatutanunua mkuu maana huku ni camp kama sobibor. Ukileta mambo ya raha watu hawataki.
Kuna kipindi tulikua route ya camp wildlife hunting tokea Selous mpaka Botswana ni pori kwa pori tu.
Tulikula ndonga hilo na maharage mwanzoni mpaka basi.
Ila walivyoanza kuwinda tulikula Nyamapori mpaka basi, maana leo watarudi na nyati mzima,kesho swala,sijui mara mnyama gani, vindege hivi kanga sijui nini kibao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom