sonjames
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 289
- 386
Hii ndiyo yenyewe ukiongezea na k vant ndogo lazima mtu akimbie. Niko vzr sana![]()
Mkuu umenikumbusha kwa bibi.hasa huo mlenda.
Picha itakayofuata baada ya hii nitakuonesheni Mapishi mengine ya Chavi Chavi.
![]()
wewe sio kabisa. Hebu tuwekee mchemsho wa nziInapatikana wapi hiyo mkuu tupate kuionja............Karibuni Mishikaki ya Nyoka.
![]()
Karibu sana Kiongozi.Mkuu yani huwa nikiaona Id yako hii ya HARUFU na yule jamaa anajiita washawasha mie huwa ni kicheko hata kama sikucheka wiki nzima huwa nasitukia nimecheka
😀.Inapatikana wapi hiyo mkuu tupate kuionja............