Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,765
- 830,901
- Thread starter
- #17,701
Hata kama ningekuwa nimefunga ningefungua kwa siriItifaki imezingatiwa!View attachment 1761386






Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ningekuwa nimefunga ningefungua kwa siriItifaki imezingatiwa!View attachment 1761386







Ngoja nianze kuwasambazia maharage yaliyoungwa vizuuri na nyama na kuhifadhiwa kwenye makopo (cans) bila kuweka kemikali za preservatives. Itakuwa Ni kwa ajili ya mnaoenda makambi, porini n.k. Unasonga ugali mboga tayari.Kipindi flani kwenye chaka moja maeneo ya Orkesmet.
View attachment 1761214
Huo ugali tunakula mtu 4 tu.
View attachment 1761213
View attachment 1761207
Hatutanunua mkuu maana huku ni camp kama sobibor. Ukileta mambo ya raha watu hawataki.Ngoja nianze kuwasambazia maharage yaliyoungwa vizuuri na nyama na kuhifadhiwa kwenye makopo (cans) bila kuweka kemikali za preservatives. Itakuwa Ni kwa ajili ya mnaoenda makambi, porini n.k. Unasonga ugali mboga tayari.
Hii kitu umeipikaje, nataka namie nipike
Hivyo vitunguu vya majani ni amazing sana!😋😋😋
Uje uchukue na chai ya kunyweaHivyo vitunguu vya majani ni amazing sana!![]()

🤣🤣🤣Uje uchukue na chai ya kunywea![]()