Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,489
- 70,281
Asante mlongo
Yeah ndo hiyo bamboo juiceNdio ile inavunywa toka kwenye bamboo tree sio?
Naomba unifundishe kupika hizi pasta, bila kulainika kama ugaliMie natumia hizi. Pasta.
Sio zile nyengine local made.
Zile mie hupenda kupika nyeupe za nazi. View attachment 1768697
Mi haya niliyala Zambia, Lusaka wanayaita CHIKANDAMsafiri kafiri nimekula sana hizi makitu, hapa kwetu sijabahatika kukutana nayoView attachment 1769407View attachment 1769406View attachment 1769405
Ashiiiiii no way, you did? Yana taste gani aisehh ahhhMi haya niliyala Zambia, Lusaka wanayaita CHIKANDA
Aandike tena taste ooh no! Mtu yeyote aliekula hizo mambo asihojiwe chochote maana ni balaa.
Aandike tena taste ooh no! Mtu yeyote aliekula hizo mambo asihojiwe chochote maana ni balaa.
Saa za kufuturu hazijafika!
NkituliaNaomba unifundishe kupika hizi pasta, bila kulainika kama ugali
Mbona vimepasuka mamy? Utakuwa umezidisha baking powder au wakati wa kusukuma havikunyooka sawasawa?
Naomba mnifundishe kupika hivi vidudeMbona vimepasuka mamy? Utakuwa umezidisha baking powder au wakati wa kusukuma havikunyooka sawasawa?