Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,318
2,000
Bongo raha dah unachangiwa milioni 42 kwenye harusi yako wewe 😱Naelewa ni busara kujenga kuliko sherehe lakini watu wamejitolea inabidi waenjoy pesa yao tafadhali acha ubinafsi.Ukitaka kujenga tafuta kwa jasho lako au uombe mchango mpya wa ujenzi 😅
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,200
2,000
Usijitafutie laana ya bure.
Yaani wewe umekata tamaa kuwa huwezi kujenga kwa pesa yako?
Au unapenda ujengewe nyumba na watu wengine?
Je utaweza kumudu matumizi ya kila siku na huyo mkeo/watoto?
Kama bado hujajipanga nakushauri acha kuoa mkeo ataliwa ili akutunze kwa mahitaji ya ndani.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,115
2,000
Bongo raha dah unachangiwa milioni 42 kwenye harusi yako wewe 😱Naelewa ni busara kujenga kuliko sherehe lakini watu wamejitolea inabidi waenjoy pesa yao tafadhali acha ubinafsi.Ukitaja kujenga tafuta kwa jasho lako!
mimi kama ndio ningekuwa nafunga ndoa leo, iyo hela ipo mkononi mwangu au hata kama ipo kwa mchangishaji ambaye ni ndugu yangu, naenda kuinyang'anya nafanay jambo la maana, mengine baadaye. hakuna atakayekushtaki kwa alfu 30 au 50 wewe.

Tunatumia karibia milioni kadhaa kula mivyakula siku moja tu alafu watu wanatawanyika wanawaacha ninyi wawili tu mnapigika na maisha,ndo nini ivyo?
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,115
2,000
Usijitafutie laana ya bure.
Yaani wewe umekata tamaa kuwa huwezi kujenga kwa pesa yako?
Au unapenda ujengewe nyumba na watu wengine?
Je utaweza kumudu matumizi ya kila siku na huyo mkeo/watoto?
Kama bado hujajipanga nakushauri acha kuoa mkeo ataliwa ili akutunze kwa mahitaji ya ndani.
fanya tu kajenge, ila kikinuka vibaya mwanangu unaweza kwenda jela. omba kusiwe na mjeda, polisi, mwanasheria au mlevi kwenye wachangiaji, watakukamua macho.
 
Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,318
2,000
mimi kama ndio ningekuwa nafunga ndoa leo, iyo hela ipo mkononi mwangu au hata kama ipo kwa mchangishaji ambaye ni ndugu yangu, naenda kuinyang'anya nafanay jambo la maana, mengine baadaye. hakuna atakayekushtaki kwa alfu 30 au 50 wewe. tunatumia karibia milioni kadhaa kula mivyakula siku moja tu alafu watu wanatawanyika wanawaacha ninyi wawili tu mnapigika na maisha,ndo nini ivyo?
Basi angeomba mchango wa kujenga sio wa harusi. Si sawa kwa wahusika alowachaji mchango hata kama ni elfu 50,wanastahiki washuhudie harusi.Utapeli wa macho makavu loh....ingelikuwa watu wote wanafanya hivo basi kila mtu angekuwa na hekalu lake!Walau angesema anataka zawadi ya harusi lakini hafanyi sherehe hapo uone kama atapata 42million 😅😅😅
 
kitonger

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
520
500
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa

Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu

Naomba ushauri
Usawa wa Mwigulu huu..michango 42 mln and counting??duh...Konda Nishushe
 
ibramy

JF-Expert Member
Jul 23, 2019
595
1,000
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa

Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu

Naomba ushauri
We usituzoee tutakutoa kishipa dogo!!!! Nataka ujue ulipo tupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada D

Member
Sep 30, 2019
59
125
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa

Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu

Naomba ushauri

Je unatafuta laana au baraka?
 
DOTTOO

New Member
Jul 25, 2021
4
45
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa

Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu

Naomba ushauri
Anza ujenzi fasta peleka tofali saivi usichelewe
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,115
2,000
mkumbusheni kuwa baadhi ya wachangiaji wa harusi yake ni "wachawi" lazima wakuroge mzee. hela ya mtu huwa hailiwi bure, ukiingia kwenye ndoa mauzauza yakaanza, mara sijui hakuna mtoto, mara ugomvi, mara mikosi, nenda polepole kwa kila mchangiaji karudishe hela za watu. jua kuwa kimeshanuka.
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,257
2,000
Morally huo ni wizi na utapeli..., ila logically ni busara... Swali la msingi can you live with your conscious ? Sababu unaweza kufanya tendo moja lakini likakuandama wewe na nafsi yako maisha yako yote...

Ila kama haujali its all good
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
13,753
2,000
Kuna mzee mmoja Dodoma alikua mhadhiri wa chuo kimojawapo kule.

Akawa anaoza kijana wake michango ikatoka ya kutosha si unajua malecture bhana wanafahamiana na kipato cha kutosha.

Yule dingi akaenda kujengea nyumba michango yoote harusi ikafungwa kimyakimya. Mzee hana habari na mtu.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,115
2,000
Morally huo ni wizi na utapeli..., ila logically ni busara... Swali la msingi can you live with your conscious ? Sababu unaweza kufanya tendo moja lakini likakuandama wewe na nafsi yako maisha yako yote...

Ila kama haujali its all good
tukiongea ukweli wa moyoni, no man can live with that blame peacefully, itakusumbua moyoni, itakuathiri sio wewe tu bali hadi watoto wako, utajulikana ulikula michango ya watu, na watoto wako watajulikana ni watoto wa yule aliyekula michango ya watu, kiufupi unajitengenezea nembo yako ya aina ya tapeli. everybody will know you na utadharaulika sana.
 
Free-zy

Senior Member
Sep 30, 2015
117
225
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa

Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba akaaawambie wajumbe kuwa corona hakuna mikusanyiko naoa kimya kimya na watu wachache tu

Naomba ushauri
Sawa ila Ndoa ikivunjika nyumba iwe mali ya kamati....
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
5,172
2,000
Unasubiri nini sasa? Wewe jenga fasta tunza mil 15. Siku ikifika nenda kaode mavyakula na pombe waambie bi harusi alihairisha ndoa wakati ushalipia vitu imekubidi uwafurahishe kwa hicho kidogo. Usiruhusu maswali mengi sana. Hakuna atakae kupeleka police maana vyakula vitakuwepo wavile waondoke.

Bibi harusi labda awe na ubongo wa kiume. Ndio atakubali hilo wazo. Wanawake na harusi ni kama maji na samaki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom